Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Aaah baada ya hapo ndio ilibidi niwe na mawasiliano mujarab na mwalimu wake maana mambo ya "mama wewe hujui" siyataki tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi siku hizi kama sielewi nakaa pembeni nampigia Mwl anieleweshe kama nitakuwa nimeshindwa kupata jibu sahihi.Sitaki aibu tena ya kumkosesha mtoto wakati anaamini Mama ni Kipanga [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana wakati nimekazana na ile ya zamani akawa ananitazama tu usoni kama hanisomi hivi, ndio akaona mambo yasiwe mengi akanyanyuka na daftari lake[emoji1787][emoji1787]