Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Swali zuri, ngoja tusubiri mrejesho
Ukifika unaomba wanakupatia au? Unapata ya kwako au yoyote tu yenye kiasi unachotaka?Hizo huwa zinahitajika pale unapotakiwa kufanya retirement kwa muhasibu ndo unaenda kuhangaika kuzitafuta za tarehe hususa
Yeah una mwambia tu muhudumu nitafutie diesel ya tarehe 10 mpaka 20 isome labda laki 2 anakutafutia unampooza ya majiUkifika unaomba wanakupatia au? Unapata ya kwako au yoyote tu yenye kiasi unachotaka?
Ahaaa, kwahiyo unachukua yoyote tu mradi kiasi kiendane, hakuna wanaozidisha kweli kupata cha juu?Yeah una mwambia tu muhudumu nitafutie diesel ya tarehe 10 mpaka 20 isome labda laki 2 anakutafutia unampooza ya maji
Kivipi Mkuu?Hizo risiti ni dili sana kwa madereva wa serikali.
Ukipiga piga kwa mwezi hukosi milioni 1 ya bure.
Zinauzwa hizo
Kama huna mchango wa maana pita kimya kimya tu Mkuu hamna haja ya kumkejeli mtu, Anayeuliza anataka kujua, sio wote wana uelewa kama wakoWatanzania ni wa ajabu sana.
Risiti mnaziacha kwa watoa huduma halafu maswali unakuja kuuliza humu.
Tanzania hii kuna watu wasipopewa risiti mtagombana, lakini pia kuna wale ambao ukitaka kuwapa risiti hamtaelewana kabisa na anakujibu mimi makarasi ya nini bwana.
Sasa yote haya, still kuna mtu hata sheli hajawahi kwenda kununua petroli anakuja kuchekesha hapa!
Ipo hivi kwa mfano mtu ama dokezo kashapewa hela ya mafuta ila hajaitumia yote nyingine kainyonga anachofanya anatafuta risiti ya kujaziliaAhaaa, kwahiyo unachukua yoyote tu mradi kiasi kiendane, hakuna wanaozidisha kweli kupata cha juu?
Inaonekana ni biashara kubwa kweliWanawauzia wahasibu na watu ugavi na ununuzi katika kuweka hesabu sawa ili kitumbua kisiingie mchanga
Petrol station zipo nyingi sio lazima tuende za ShellWatanzania ni wa ajabu sana.
Risiti mnaziacha kwa watoa huduma halafu maswali unakuja kuuliza humu.
Tanzania hii kuna watu wasipopewa risiti mtagombana, lakini pia kuna wale ambao ukitaka kuwapa risiti hamtaelewana kabisa na anakujibu mimi makarasi ya nini bwana.
Sasa yote haya, still kuna mtu hata sheli hajawahi kwenda kununua petroli anakuja kuchekesha hapa!
Kaa kwa kutulia mkuu, hata humu wafanyakazi wa vituo vya mafuta wapo ma wanajibu maswali.Watanzania ni wa ajabu sana.
Risiti mnaziacha kwa watoa huduma halafu maswali unakuja kuuliza humu.
Tanzania hii kuna watu wasipopewa risiti mtagombana, lakini pia kuna wale ambao ukitaka kuwapa risiti hamtaelewana kabisa na anakujibu mimi makarasi ya nini bwana.
Sasa yote haya, still kuna mtu hata sheli hajawahi kwenda kununua petroli anakuja kuchekesha hapa!
Jiongeze. Ukijua yote haitasaidia.Kivipi Mkuu?
Ni hivi, ukipewa huduma mtoa huduma anatoa risiti, kwa hiyo ni jukumu lako kuchukua, na kama hukuchukua, lawama zinabaki kwako mteja, na siyo mtoa huduma.Kaa kwa kutulia mkuu, hata humu wafanyakazi wa vituo vya mafuta wapo ma wanajibu maswali.
Kaa ukijua Jf sio sawa na kijijini kwenu ambako hakuna hawa watu.
Uwe unauliza wenyeji