Vituo vya Mafuta hufanya nini na Risiti wanazobaki nazo?

Vituo vya Mafuta hufanya nini na Risiti wanazobaki nazo?

Ni ipi tofauti kati ya petro station na sheli hapa Tanzania?
Shell,agip,total,BP ni jina la kampuni inayouza mafuta.
Petrol station ni jina linamaanisha sehemu wanapouza mafuta.
SAWA na kusema bar,saloon,sokoni,machinjoni nk.
Watz wanaziita shell kwa sababu ndio kampuni pekee ya mwanzo iliyoanza kutoa huduma za kuuza mafuta nchini enzi ya mkoloni kabla ya brand zingine hivyo vituo vya mafuta waliviita shell.
 
Najua kuwa kila gari ina account yake GSPA na kuna log book.
Ilà hizo risiti madereva wanakwenda kuzinunua zina kazi yake mkuu.
Labda kwenu TO mnoko hapo sawa ila jua tu bado kuna government drivers wana kazi nazo zile risiti
Zamani sawa kwa sasa sidhani
 
Najua kuwa kila gari ina account yake GSPA na kuna log book.
Ilà hizo risiti madereva wanakwenda kuzinunua zina kazi yake mkuu.
Labda kwenu TO mnoko hapo sawa ila jua tu bado kuna government drivers wana kazi nazo zile risiti
Hizi ni hearsay tu. Mbona huku Halmashauri za Wilaya hakuna kitu kama hicho?
 
Wakuu kwema?

Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu.

Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.

Hawajataka kubaki nayo, hawawezi kukulazimisha uchukue, ni uchafu tu wa kuchoma
 
Hayana issue yoyote hayo labda madereva wa kampuni siyo serikalini.

Ingekuwa dili tusingeyakuta yamejaa vile vituoni.
 
Wakuu kwema?

Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu.

Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.

😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 kweli umekasirikaaa mkuu zilee n helaa watu wa ofisin wanaenda kuzinunua wanakabidhi mwisho wa mwezi
 
Back
Top Bottom