Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Ni ipi tofauti kati ya petro station na sheli hapa Tanzania?Petrol station zipo nyingi sio lazima tuende za Shell
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ipi tofauti kati ya petro station na sheli hapa Tanzania?Petrol station zipo nyingi sio lazima tuende za Shell
Sasa iwapo wewe huelewi na hutaki kueleweshwa, basi kaa kimya.Kama huna mchango wa maana pita kimya kimya tu Mkuu hamna haja ya kumkejeli mtu, Anayeuliza anataka kujua, sio wote wana uelewa kama wako
Shell ni kampuni na Petrol station inajumuisha Shell, lake oil, oilcom, panone etc.Ni ipi tofauti kati ya petro station na sheli hapa Tanzania?
Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu.
Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.
Kwamba wakaguzi wa hesabu huchukua risiti ilimradi?Wanawauzia wahasibu na watu ugavi na ununuzi katika kuweka hesabu sawa ili kitumbua kisiingie mchanga
Itaharibu biashara za watu, sio?😀😀😀Jiongeze. Ukijua yote haitasaidia.
Zisitumiwe vibaya kama baadhi ya Wakuu walivyobainisha hapa, ziteketezweNgoja nikuulize mkuu...
Wewe unadhani wanatakiwa wafanye nini juu ya risiti zinazolekezwa zaidi ya kuzikusanya kwenye hivyo vikapu vya taka?
Unataka waziache zizagae wakati mwenye jukumu la kuchukua risiti hajafanya hivyo?
Swali zuri sana hili.Ngoja nikuulize mkuu...
Wewe unadhani wanatakiwa wafanye nini juu ya risiti zinazolekezwa zaidi ya kuzikusanya kwenye hivyo vikapu vya taka?
Unataka waziache zizagae wakati mwenye jukumu la kuchukua risiti hajafanya hivyo?
Umesoma maoni yatu wengine na bado unakuja na maoni kama haya, wewe utakuwa kati ya wafanyabiashara hao wanaohujumu kodi za wananchiSasa iwapo wewe huelewi na hutaki kueleweshwa, basi kaa kimya.
Hakuna sababu nyingine za risiti kubaki vituoni zaidi ya wateja kuziacha.
Ingekuwa hazitolewi, basi tungewalaumu watoa huduma, lakini kama zipo kwenye dust bins, basi ni tatizo la mteja.
Mnakuwa na speculations zisizo na maana wakati makosa ni ya wateja.
Zisitumiwe vibaya kama baadhi ya Wakuu walivyobainisha hapa, ziteketezwe
Kwa taarifa yako, pindi ukilipia huduma na risiti ikatolewa, basi ukae ukijua kwamba fedha imefika kwenye taasisi husika kihalali.Umesoma maoni yatu wengine na bado unakuja na maoni kama haya, wewe utakuwa kati ya wafanyabiashara hao wanaohujumu kodi za wananchi
Watu kama nyinyi ndio mnafanya wizi uwe kawaida na mambo ya hovyo yaendelee kutokea nchini. Kama huna mchango wa maana pita kimya kimya MkuuSwali zuri sana hili.
Kuna watu wanahoji vitu vya kijinga sana.
Zile risiti anahisi sijui ni hela gani mule zipo!
🤣🤣🤣🤣 kazi kweli kweli, kwahiyo macho yako yameishia kusoma hapo tu kuchuakua ama kuacha riti? Michango ya member mengine yote kuhusu matumizi ya risiti hizo huoni? We utakuwa mmoja ya watu wanaofanya biashara hii. Pole MkuuKwa taarifa yako, pindi ukilipia huduma na risiti ikatolewa, basi ukae ukijua kwamba fedha imefika kwenye taasisi husika kihalali.
NB Mteja kuacha kuchukua risiti yake hakubatilishi huduma iliyotolewa kwa upande wa mtoa huduma, bali tatizo litakuwa upande wake mteja iwapo kuna mamlaka itamdai risiti ya hela aliyoitumia kununulia mafuta.
Hapana, huwezi kunizuia kusema kitu ambacho ninakijua ila wewe unajaribu kupotosha.Watu kama nyinyi ndio mnafanya wizi uwe kawaida na mambo ya hovyo yaendelee kutokea nchini. Kama huna mchango wa maana pita kimya kimya Mkuu
Sasa hiki sicho kinachofanyika, ndio maana nilitaka kufahamau zaidi na Wakuu wamefunguka hapa kama ulivyoonaNdio wanazikusanya ili ziharibiwe baadaye endapo mwenye risiti hatarudia risiti yake...
Kumbuka kwa sheria ya mapato, mtoa huduma anapaswa kutoa risiti na mpokea huduma anapaswa kuchukua risiti...
Aliyepaswa kutoa risiti katimiza wajibu wake, lakini mpokea huduma kafanya ukaidi...
🤣 🤣 🤣 kwamba mimi napotosha na waliocomment ni watu wengine. Umeeleweka mtu, huna haja ya kujieleza sana, linda ugali kwa nguvu zote haijalishi unaharibu nini!Hapana, huwezi kunizuia kusema kitu ambacho ninakijua ila wewe unajaribu kupotosha.
Ninaandika haya ili kila mtu aone na ajue ni nini kinajiri.
Siandiki vya kuambiwa bali ninafanya kazi za namna hii.
Anachojaribu kuandika na kutetea ni upotoshaji, na siwezi kuacha kukuambia ukweli.
Tafuta kazi ya kufanya acha kushupaza fuvu!
Tatuta kazi ufanye. Wivu na majungu hautakusaidia kupata kazi kama hiyo.🤣 🤣 🤣 kwamba mimi napotosha na waliocomment ni watu wengine. Umeeleweka mtu, huna haja ya kujieleza sana, linda ugali kwa nguvu zote haijalishi unaharibu nini!
Unampanga tu jamaa kwamba nataka risiti ya bei gani. anakuangalizia anakupatia ila lazima umtoe hela ya sodaUkifika unaomba wanakupatia au? Unapata ya kwako au yoyote tu yenye kiasi unachotaka?
niliwahi kupata tunzo ya mfanyakazi bora wakati Fulani, nikapewa cheti na nikaambiwa niende kwa muhasibu kuna bahasha yangu pia.Wakuu kwema?
Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu.
Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.