Mtu ajichanganye atumie hela ya ofisi kwa kisingizio cha kununua mafuta, halafu aende kituoni akabebe risiti yeyote akapeleke kwa mkaguzi😃Ukifika unaomba wanakupatia au? Unapata ya kwako au yoyote tu yenye kiasi unachotaka?
Uko nje ya muda ndugu.....Kwamba wakaguzi wa hesabu huchukua risiti ilimradi?
Risiti halali kwa mkaguzi ni ile yenye namba ya gari husika ya taasisi anayoikagua.
Hakuna namna ambayo unaweza kuchukua risiti iliyotolewa kwa ajili ya gari nyingine(na mara nyingi hazina namba za magari) halafu ukapeleka halmashauri fulani na udai ni ya gari la serikali au taasisi nyingine yeyote iliyo chini ya ukaguzi.
Kama ulikuwa hujui hao wakaguzi ndio wanaoziagiza hizo risiti..,..Mtu ajichanganye atumie hela ya ofisi kwa kisingizio cha kununua mafuta, halafu aende kituoni akabebe risiti yeyote akapeleke kwa mkaguzi😃
We jamaa unashangaza sana. Sijui ni kutokujua au upunguani wako. Risiti ni haki ya mteja. Ukinunua mafuta, chukua risit yako uondoke.Wakuu kwema?
Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu.
Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.
Kama ulikuwa hujui hao wakaguzi ndio wanaoziagiza hizo risiti..,..
Angalau wewe nimekuelewa.HiO mashibe zipo connected automatic mafuta yakitoka lazima risiti itoke pia so wateja wengi hawapend kuchukua risti ndio maana zibabakia palepale shell kama inavooneka
Yani ni zimesetiwa automatic ukiweka mafuta lazima risiti itoke
Fanya kazi ya halali Mkuu, unawaachia laana kizazi chako. Wizi sio mzuriTatuta kazi ufanye. Wivu na majungu hautakusaidia kupata kazi kama hiyo.
Laana unazijua wewe au unaandika tu ilimradi?Fanya kazi ya halali Mkuu, unawaachia laana kizazi chako. Wizi sio mzuri
Watu kama wewe ndio mnafanya wizi unaendelea na wengine kuishi kwa tabu. Mnakula majasho ya watu na hata hamuoni tatizo. Maisha yawe rahisi kwa kuminya wengine? Fanya kazi ya halali MkuuTuache unafiki km umeona zima maan ukijaza mafuta uwe unaomba risit yako unapewa sio unakuja humu kuandika unafiki
We unazani kla mtu ni mkuda na mnafiki km ww unauliza maswali ambayo majb yake unayo
Maisha ni rahisi sana dunian ila wanafiki km ww ndo usababisha maisha kua magumu kwa wenzako
Hizi unazozitetea hapa zimeshaanza kukutafuna, acha kazi za zinazohusisha kuibia wengine, madhara yake makubwa MkuuLaana unazijua wewe au unaandika tu ilimradi?
Noma sana... kuna mwenye biashara yake anabisha vikaliniliwahi kupata tunzo ya mfanyakazi bora wakati Fulani, nikapewa cheti na nikaambiwa niende kwa muhasibu kuna bahasha yangu pia.
Nilipoenda kwa muhasibu nikamuonyesha cheti, akanambia nenda kalete risiti ya kiasi fulani ata kama ni hamsini hamsini but make sure zinafika kiasi fulani cha fedha...
nikamuuliza ntazipata wap akanambia sheli, nikaenda sheli wakanipiga elfu5 nikachukua risiti zangu , nikapeleka kwa muhasibu nikapewa mkwanja wangu nkasepa...
So izo risiti ni deal 🐒🐒
Hii ndio shida ya kukurupuka. Kunywa maji upunguze mihemko kidogo kisha usome vizuri kilichoandikwa na urudi kwenye mada MkuuWe jamaa unashangaza sana. Sijui ni kutokujua au upunguani wako. Risiti ni haki ya mteja. Ukinunua mafuta, chukua risit yako uondoke.
Wengi hawachukui risiti ndio maana zinabaki pale.
Na ukienda ukizihitaji za magumashi wanakuuzi tu. Sasa unamlaumu nani? Chukua risit yako uondoke kuondoa huo upuuzi, sio kuja kupiga kelele humu.
Mjini hapa, hata ukitaka muhuri wa Ikulu unapata.
Hujui gari za serikali mafuta hutolewa kwa milage?Hizo risiti ni dili sana kwa madereva wa serikali.
Ukipiga piga kwa mwezi hukosi milioni 1 ya bure.
Zinauzwa hizo
Najua kuwa kila gari ina account yake GSPA na kuna log book.Hujui gari za serikali mafuta hutolewa kwa milage?
Hujui GPSA au vituo walivyoingia navyo ubia ndo pekee hufanya hivyo?
Wakaguzi wa hesabu huwa wanafata ada,bati,nk na sio hayo makaratasi yakoKwamba wakaguzi wa hesabu huchukua risiti ilimradi?
Risiti halali kwa mkaguzi ni ile yenye namba ya gari husika ya taasisi anayoikagua.
Hakuna namna ambayo unaweza kuchukua risiti iliyotolewa kwa ajili ya gari nyingine(na mara nyingi hazina namba za magari) halafu ukapeleka halmashauri fulani na udai ni ya gari la serikali au taasisi nyingine yeyote iliyo chini ya ukaguzi.