Vituo vya Mafuta hufanya nini na Risiti wanazobaki nazo?

Ni ipi tofauti kati ya petro station na sheli hapa Tanzania?
Shell,agip,total,BP ni jina la kampuni inayouza mafuta.
Petrol station ni jina linamaanisha sehemu wanapouza mafuta.
SAWA na kusema bar,saloon,sokoni,machinjoni nk.
Watz wanaziita shell kwa sababu ndio kampuni pekee ya mwanzo iliyoanza kutoa huduma za kuuza mafuta nchini enzi ya mkoloni kabla ya brand zingine hivyo vituo vya mafuta waliviita shell.
 
Najua kuwa kila gari ina account yake GSPA na kuna log book.
IlΓ  hizo risiti madereva wanakwenda kuzinunua zina kazi yake mkuu.
Labda kwenu TO mnoko hapo sawa ila jua tu bado kuna government drivers wana kazi nazo zile risiti
Zamani sawa kwa sasa sidhani
 
Najua kuwa kila gari ina account yake GSPA na kuna log book.
IlΓ  hizo risiti madereva wanakwenda kuzinunua zina kazi yake mkuu.
Labda kwenu TO mnoko hapo sawa ila jua tu bado kuna government drivers wana kazi nazo zile risiti
Hizi ni hearsay tu. Mbona huku Halmashauri za Wilaya hakuna kitu kama hicho?
 


Hawajataka kubaki nayo, hawawezi kukulazimisha uchukue, ni uchafu tu wa kuchoma
 
Hayana issue yoyote hayo labda madereva wa kampuni siyo serikalini.

Ingekuwa dili tusingeyakuta yamejaa vile vituoni.
 
πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ kweli umekasirikaaa mkuu zilee n helaa watu wa ofisin wanaenda kuzinunua wanakabidhi mwisho wa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…