Vituo vya utangazaji vyatakiwa kuomba kibali TCRA kurusha matangazo ya Vyombo vya Habari vya Nje

Hata kucomment JF watataka tuwe na leseni[emoji1][emoji111][emoji39]
 
Serikali hii inapaswa ijitathimini sana, Kama kweli serikali ya awamu ya tano imefanya makubwa kuliko kipindi chote kile, wananchi wanaikubali na wanaiunga mkono, inakusanya kodi kubwa zaidi kuliko kipindi chote hicho, sasa huu uoga unatoka wapi tena??
 
Wamesahau kwamba DSTV kuna TV za Kenya ambazo ndio zitakua mkombozi wetu[emoji39][emoji111][emoji1]
 
Wanaficha uchi , watakua wana matatizo
Aisee mchana hapa nimewasha rfa nisikilize dw nakuta hola...
Ila hawa jamaa hawatutendei haki hata kidogo, miaka yote tunasikiliza hizi redio, alafu mwaka huu ndiyo iwe tatizo!?
Wanaficha vitu gani hasa!?
 
Mbombo ng'afu mama anaipenda bbc leo ataangalia st swahili tu haina jinsi
 
Ukishaona kwenye nchi kuna sheria zinazotungwa kufuata tabia binafsi ya kiongozi wa nchi, ujue itakuwa vigumu kiongozi huyo kutoka madarakani, na sio kutoka tu, bali kutoka kwa amani.
Hata Marekani wanadhibiti kwa kasi sana, urusi pia, uhuru bila mipaka ni hatari kwa usalama wa nchi.Twende na JPM gari la uhakika
 
Wacha wazidishe maadui! wanadhani wanajijenga, ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…