NI KWELI UNACHOSEMA ILA UJUE REDIO NYINGI ZA SIKU HIZI NI DIGITAL, NYINGI ZINA FM TU HAZINA SW.Hili la kuzuia hizi redio za majuu kuungana na local radio stations za hapa kusudi kuwanyima wapinzani jukwaa la kushushia nondo zao kwa utawala wa Magufuli naona kama ni kazi bure tu vile...
Balaa hili.
Sio balaa tu, bali ni kubwa pia. Halafu wanataaluma wa tasnia ya habari wakati huo walikuwa akina marehemu/ hayati Ben Mkapa; ambaye inasemekana ndio alikuwa mshauri mkuu na aliyekuw akisikilizwa na Dr John Pombe Joseph Magufuli.Balaa hili.
Watafungia mpaka hizi youtube channels mwaka huu
Radio hazina maana tena either zipige umbeya wa kinamwijaku au zipige bongofleva tu aisee hii nchi imefika pabaya sana.Siku hizi mwendo ni kula bongo fleva mwanzo mwisho
Redion [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
DuuhTunakoelekea hata ukilike habari fulani waweza kupelekwa mahakamani