"Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

Watoto wadogo watapinga hiii!!

Asili ya uislam no akhera yaani kuzimu!!

Sasa kuzimu Kuna viumbe wanaishi mizimu,mapepo,majini.ambayo huja nankuondoka Duniani!!

Kuna Baadhi ya watu either wachawi au viongozi au waganga huenda huko kuzimu na kurudi na kumuona muhamad na king solomon na wengine wengi huzungumza nao na kurudi duniani kufanyia kazi maelekezo yao!!

niishie hapo!!
 
Waislam wanafuga majini, ndiyo maana wanasema kuna majini wazuri na wabaya. Majini yanakaa msikitini.
 
Mimi ni muislamu lakini niseme tu kwamba kuna baadhi ya maneno ya hawa wanazuoni wetu yananipa wakati mgumu kidogo.
Anaposema mtu akienda kwenye nyumba hiyo akiomba kuondoshewa shida zake anazoziona zimekuwa nzito kwake basi lazima atapata jibu kwa haraka anamaainisha nini! Kwamba lazima shida yake itapata ufumbuzi au atapata jibu kwa haraka kama amekubaliwa au amekataliwa au imekaa vipi,maana kama anamaanisha lazima atakubaliwa na kupatiwa ufumbuzi wa tatizo lake basi nina uhakika hapo mahala kungekuwa kunafurika watu kila siku na wala wasingekuwa raia wa hapo Comoro tu bali kungefurika watu kutoka pande zote za dunia.
Halafu kwanini Mungu atoe majibu ya shida za waja wake mahali hapo tu na si kwingineko.
 
Sasa mkuu unataka kusema kati ya Waislam na Wakristo nani anafuga majini?
 

Tatizo kubwa la mashehe wengi ni wamesoma sana dini tu.

Elimu dunia hawaisomi sana.

Hivyo fikira na mawazo yao yanakuwa yanaishia kwenye dini tu.

Wanasahau wapo waislamu waliosoma na elimu dunia sana ambao wana akili za kuhoji kwa logic wanapoona uongo wa wazi.

Mfano stori kama hii ya dr sulle hakuna muislamu mwenye elimu dunia ambaye ataikubali
 
Umeja

Mkuu siyo 70 ni mabikira 72, una wapunguzia idadi watakuja kuku mind.
Teh
 
Hivi kwa nini watu weusi hatuna akili???Kwa akili ya kawaida tu hata mbuzi anaweza kutushinda, kweli viumbe wa ajabu wajenge msikiti .???? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…