"Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

Watoto wadogo watapinga hiii!!

Asili ya uislam no akhera yaani kuzimu!!

Sasa kuzimu Kuna viumbe wanaishi mizimu,mapepo,majini.ambayo huja nankuondoka Duniani!!

Kuna Baadhi ya watu either wachawi au viongozi au waganga huenda huko kuzimu na kurudi na kumuona muhamad na king solomon na wengine wengi huzungumza nao na kurudi duniani kufanyia kazi maelekezo yao!!

niishie hapo!!
 
Walicho waweza wachungaji kuwa shika akili za majumbu zao ni kuwaaminisha kuwa waisilamu wanafuga majini pia wanaabu majini pia na mayumbu waamini

Hali yakuwa majini ni viumbe visivyo onekana kwa macho swali hao wachungaji walijuaje kuwa waisilamu wanafuga maji?

mfano kuna kanisa liko jirani yangu mchungaji alikuwa iliwambia misukule wake siku ya j 2 kuwa masheikh wote wenye ndevu wana majini kwenye ndevu zao heti kayaona huku misukule ikipiga makofi

Baada ya misa tukamuita mchungaji mbele ya waumini wake pale barabalani hili atuthibitishie majini wanavyo fanana ikibidi atuonyesha hata picha akasema mimi sijasema maneno hayo

Tukagundua kuwa misukule wameshikwa akili zao pia wachungaji bila kutumia uchawi awawezi kufanya lolote mwalimu wa uchawi ni jini
Waislam wanafuga majini, ndiyo maana wanasema kuna majini wazuri na wabaya. Majini yanakaa msikitini.
 
Mimi ni muislamu lakini niseme tu kwamba kuna baadhi ya maneno ya hawa wanazuoni wetu yananipa wakati mgumu kidogo.
Anaposema mtu akienda kwenye nyumba hiyo akiomba kuondoshewa shida zake anazoziona zimekuwa nzito kwake basi lazima atapata jibu kwa haraka anamaainisha nini! Kwamba lazima shida yake itapata ufumbuzi au atapata jibu kwa haraka kama amekubaliwa au amekataliwa au imekaa vipi,maana kama anamaanisha lazima atakubaliwa na kupatiwa ufumbuzi wa tatizo lake basi nina uhakika hapo mahala kungekuwa kunafurika watu kila siku na wala wasingekuwa raia wa hapo Comoro tu bali kungefurika watu kutoka pande zote za dunia.
Halafu kwanini Mungu atoe majibu ya shida za waja wake mahali hapo tu na si kwingineko.
 
Sio utoto hayo ndio mafundisho ya wachungaji kila siku majini majini mala waisilamu ni majini mala wanaabudu majini mala wanafuga majini,ukichunguza mambo mengi wayafanyayo wachungaji kupitia viini macho utagundua kuwa wanatumia sana uchawi ndio maana ujifichia kwenye majini
Sasa mkuu unataka kusema kati ya Waislam na Wakristo nani anafuga majini?
 
Mimi ni muislamu lakini niseme tu kwamba kuna baadhi ya maneno ya hawa wanazuoni wetu yananipa wakati mgumu kidogo.
Anaposema mtu akienda kwenye nyumba hiyo akiomba kuondoshewa shida zake anazoziona zimekuwa nzito kwake basi lazima atapata jibu kwa haraka anamaainisha nini! Kwamba lazima shida yake itapata ufumbuzi au atapata jibu kwa haraka kama amekubaliwa au amekataliwa au imekaa vipi,maana kama anamaanisha lazima atakubaliwa na kupatiwa ufumbuzi wa tatizo lake basi nina uhakika hapo mahala kungekuwa kunafurika watu kila siku na wala wasingekuwa raia wa hapo Comoro tu bali kungefurika watu kutoka pande zote za dunia.
Halafu kwanini Mungu atoe majibu ya shida za waja wake mahali hapo tu na si kwingineko.

Tatizo kubwa la mashehe wengi ni wamesoma sana dini tu.

Elimu dunia hawaisomi sana.

Hivyo fikira na mawazo yao yanakuwa yanaishia kwenye dini tu.

Wanasahau wapo waislamu waliosoma na elimu dunia sana ambao wana akili za kuhoji kwa logic wanapoona uongo wa wazi.

Mfano stori kama hii ya dr sulle hakuna muislamu mwenye elimu dunia ambaye ataikubali
 
Umeja
Walicho waweza wachungaji kuwa shika akili za majumbu zao ni kuwaaminisha kuwa waisilamu wanafuga majini pia wanaabu majini pia na mayumbu waamini

Hali yakuwa majini ni viumbe visivyo onekana kwa macho swali hao wachungaji walijuaje kuwa waisilamu wanafuga maji?

mfano kuna kanisa liko jirani yangu mchungaji alikuwa iliwambia misukule wake siku ya j 2 kuwa masheikh wote wenye ndevu wana majini kwenye ndevu zao heti kayaona huku misukule ikipiga makofi

Baada ya misa tukamuita mchungaji mbele ya waumini wake pale barabalani hili atuthibitishie majini wanavyo fanana ikibidi atuonyesha hata picha akasema mimi sijasema maneno hayo

Tukagundua kuwa misukule wameshikwa akili zao pia wachungaji bila kutumia uchawi awawezi kufanya lolote mwalimu wa uchawi ni jini

Mkuu siyo 70 ni mabikira 72, una wapunguzia idadi watakuja kuku mind.
Teh
 
Back
Top Bottom