FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Confirmed
Haya ni masalia/Cadaver baada ya wanafunzi kuyatumia na kushindwa kuya incinerate (kuyachoma kwenye tanuru), kwa habari za uhakika ni kwamba haya masalia yametoka chuo kikuu cha IMTU kilichopo Mbezi Beach Dar, hawa Jamaa walipeleka haya masalia Muhas/Muhimbili kwa ajili ya kuwa incinerated lakini hawakuwa na hela hivyo Muhas hawakuteketeza haya masalia.
Ndipo sasa wakaamua kuja kuyatupa Bunju.
This is very un-ethical na udhalilishaji wa taalum, hatua kali zichukuliwe.
Hapo hatuwezi kuamini hadi forensic study aisee,kuna watu kibao tu hapa town are missing
Hawa ni wauwaji wa watu, wafatiliwe watiwe mbaroni!!
Labda wanatoa watu kafara, matambiko na damu!!
wakina tomaso tupo bila kapicha! itakua ngumu kuamini.
Confirmed
Haya ni masalia/Cadaver baada ya wanafunzi kuyatumia na kushindwa kuya incinerate (kuyachoma kwenye tanuru), kwa habari za uhakika ni kwamba haya masalia yametoka chuo kikuu cha IMTU kilichopo Mbezi Beach Dar, hawa Jamaa walipeleka haya masalia Muhas/Muhimbili kwa ajili ya kuwa incinerated lakini hawakuwa na hela hivyo Muhas hawakuteketeza haya masalia.
Ndipo sasa wakaamua kuja kuyatupa Bunju.
This is very un-ethical na udhalilishaji wa taalum, hatua kali zichukuliwe.
Bunju ni wapi sisi tulioko Simanjiro hatupafahamu
kuna watu wanasema hii miili imetoka kadava muhimbili.
Hainiingii akilini. Kwanini wasifanye ivyo miaka yote waje wafanye ivyo now. Na je kadava si huwa wanakausha maiti. Hizi nyingi ni fresh na je kadava wanajifunza pia kuchuna ngozi ya binadamu na kukatakata viungo kama ndio watakuwa wauwaji sio waokoaji basi.
My take kuna haja ya sisi watanzania kuacha kuchukulia vitu easy. Ndio sababu hata perfomance ya serikali ni poor coz they know citizen cannot act upon anything but they will talk and 4get as usual.
This is serious case and bad image ever the world and our kids.