Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vema watanzania tuwe na utaratibu wa kuitangaza nchi yetu kwenye mataifa mbalimbali kwa vile nchi yetu ina vivutio vingi vya kitalii vitakavyo wapendeza watalii watakaotembelea nchini.
#NajivuniaKuwaMtanzania
View attachment 931901
Watali wa ki china ni masikini faida yao ndogo sana hawana lexurious spending habits....wanalala hosteli kwa vikundi, cheap airline tena ya kwao vyakula vyao wanakuja navyo, bora tungekomaa na wa utalii wa ndani, nawa japani, Europe, na Africa kuna strong middle class....kuliko hao watafuta masoko kwa bidha zao duni sio wataliNi vema watanzania tuwe na utaratibu wa kuitangaza nchi yetu kwenye mataifa mbalimbali kwa vile nchi yetu ina vivutio vingi vya kitalii vitakavyo wapendeza watalii watakaotembelea nchini.
#NajivuniaKuwaMtanzania
View attachment 931901
Sawa, ila hata hawa pia wakija wataitangaza nchi yetu kwa marafiki zao kote Dunia huku watanzania na sisi tukiendelea kivitangaza vivutio vyetu ili kuwapata na hao wanaojua ku spend kama ulivyosema.Watali wa ki china ni masikini faida yao ndogo sana hawana lexurious spending habits....wanalala hosteli kwa vikundi, cheap airline tena ya kwao vyakula vyao wanakuja navyo, bora tungekomaa na wa utalii wa ndani, nawa japani, Europe, na Africa kuna strong middle class....kuliko hao watafuta masoko kwa bidha zao duni sio watali
kwa hiyo bora wasije?Watali wa ki china ni masikini faida yao ndogo sana hawana lexurious spending habits....wanalala hosteli kwa vikundi, cheap airline tena ya kwao vyakula vyao wanakuja navyo, bora tungekomaa na wa utalii wa ndani, nawa japani, Europe, na Africa kuna strong middle class....kuliko hao watafuta masoko kwa bidha zao duni sio watali
Hapana tunawahitaji ila nguvu tuiweke kwenye high class tourist, ili to punguze msogamano usio kua na faida kwa mfano....mtalii moja kutoka Norway pamoja na familia yake anaweza kuspend average of $50,000 kwa mwezi zinaingia in national foreign exchange. wakati watalii wa China au India 100 wata spendi average $400 each bila airtiket $40,000 kwa 100 bora tupata familia 10 from western Europe kuliko kupata 1000 rupen tourist from India or China.kwa hiyo bora wasije?
Msongamano ndio tunaotaka kwenye sekta ya utalii hata kama kila mtalii atachangia 100000 wachina waje,wabongo waje na wazungu waje ndio maana dukani mwenye 100 anapokelewa na mwenye 100000 naye anapokelewa.Hapana tunawahitaji ila nguvu tuiweke kwenye high class tourist, ili to punguze msogamano usio kua na faida kwa mfano....mtalii moja kutoka Norway pamoja na familia yake anaweza kuspend average of $50,000 kwa mwezi zinaingia in national foreign exchange. wakati watalii wa China au India 100 wata spendi average $400 each bila airtiket $40,000 kwa 100 bora tupata familia 10 from western Europe kuliko kupata 1000 rupen tourist from India or China.
Sawa ila shida nimoja tu, we shall compromise our quality.....badala ya kua na hotel tutakua na lodge badala kua na first class restaurant tutakua na mama ntilie....kwasababu ya uwezo wa wateja wetu of low class.Msongamano ndio tunaotaka kwenye sekta ya utalii hata kama kila mtalii atachangia 100000 wachina waje,wabongo waje na wazungu waje ndio maana dukani mwenye 100 anapokelewa na mwenye 100000 naye anapokelewa.
Waache wachina waje tuache vimaneno.
Kwa kawaida kwenye business yoyote huwezi kuchagua wateja wewe kama mfanyabiashara unatakiwa uwe na customer servises nzuri ili uengeze idadi ya wateja kutoka sehemu mbalimbali ili business yako ikuwe ki world wide na ndo itapelekea kufikia maximum profit so hata na sisi nchi yetu haipaswi kuchagua watalii wakuja nchini eti kwakua tu ni wabaghili ama ni maskini kwasababu hata hao wabaghili wakija kutalii huwa wanalipia kila ktu na fedha zao zinaingia kwenye mapato yetu so mimi nahisi kama watanzania wazalendo na tuendelee kuitangaza nchi yetu kwa vivutio tulivyojaaliwa na Mungu ili hao watalii kutoka mataifa makubwa waweze kuja nchini kwetu.Sawa ila shida nimoja tu, we shall compromise our quality.....badala ya kua na hotel tutakua na lodge badala kua na first class restaurant tutakua na mama nitulie....kwasababu ya uwezo wa wateja wetu of low class.
Mkuu sikatai tunahitaji kila mtalii ili tupate....ila nalosema lazima nguvu tuziweke katika high profitable tourist....ndomaana katika jamii zentu kuna supermarket na magenge/ maduka ya wakina Mangi wote wana wateja ila matabaka tofouti na maendeleo yao ni tofouti....kwahiyo cc tunahitaji sana wateja wa supermarket sio wa genge ili tupate maendeleo ya haraka.Kwa kawaida kwenye business yoyote huwezi kuchagua wateja wewe kama mfanyabiashara unatakiwa uwe na customer servises nzuri ili uengeze idadi ya wateja kutoka sehemu mbalimbali ili business yako ikuwe ki world wide na ndo itapelekea kufikia maximum profit so hata na sisi nchi yetu haipaswi kuchagua watalii wakuja nchini eti kwakua tu ni wabaghili ama ni maskini kwasababu hata hao wabaghili wakija kutalii huwa wanalipia kila ktu na fedha zao zinaingia kwenye mapato yetu so mimi nahisi kama watanzania wazalendo na tuendelee kuitangaza nchi yetu kwa vivutio tulivyojaaliwa na Mungu ili hao watalii kutoka mataifa makubwa waweze kuja nchini kwetu.
My friend wachina ndio habari ya town sasa..Watali wa ki china ni masikini faida yao ndogo sana hawana lexurious spending habits....wanalala hosteli kwa vikundi, cheap airline tena ya kwao vyakula vyao wanakuja navyo, bora tungekomaa na wa utalii wa ndani, nawa japani, Europe, na Africa kuna strong middle class....kuliko hao watafuta masoko kwa bidha zao duni sio watali
Wa China nimatajiri sana kama wa Hindi ila hawana "lexurious spending habits" hilo ndo tatizo kubwa kwaoMy friend wachina ndio habari ya town sasa..
Wachina ukiingiza duka huwa wanabeba vitu hadi dola elf50 imagine hiyo genji hapo ukipewa kwa duka una sh ngapi??!!km hujaikimbia ela wee kwamba sio yako
tutakuwa na vyote Mkuu hotel kwa ajili ya wazungu,lodge na mamantilie kwa ajili ya wachina,huoni hili kuwa ni jambo jema maana hata watu wa hali ya chini kama mamantilie watapata ajira kutokana na kutalii wa wachina nchini?Sawa ila shida nimoja tu, we shall compromise our quality.....badala ya kua na hotel tutakua na lodge badala kua na first class restaurant tutakua na mama ntilie....kwasababu ya uwezo wa wateja wetu of low class.
Uko sahihi kakaHii imekaa safi kabisa. . .tena February 2019 Dreamliner inaanza safari za kwenye Guangzhou kupitia Bankok. Siku tatu kwa wiki. Hio itakuwa chachu kwa wafanyabiashara wa kitanzania na kukua kwa sekta ya utaliiView attachment 932004
kwahilo tutajishusha class, na Tznia itakua destination of low class tourist.....ndomaana boda boda haruhusiwi kubabe watalii kutoka airport yetu...biashara inahitaji "quality and class" ni neno pana katika biashara ya utalii bro.tutakuwa na vyote Mkuu hotel kwa ajili ya wazungu,lodge na mamantilie kwa ajili ya wachina,huoni hili kuwa ni jambo jema maana hata watu wa hali ya chini kama mamantilie watapata ajira kutokana na kutalii wa wachina nchini?
Yani mbongo anamchulia mchina POA kuwa ni low class tourist? Wonders shall never end gadambln [emoji23][emoji23]kwahilo tutajishusha class, na Tznia itakua destination of low class tourist.....ndomaana boda boda haruhusiwi kubabe watalii kutoka airport yetu...biashara inahitaji "quality and class" ni neno pana katika biashara ya utalii bro.