USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Ndio ujue kuwa tupo imara kwa sasaTanzania hua iaongoza kila kitu, mara uchumi, mara umasikini, utasikia Magufuli anaongoza. Hata sijui nini hatuongozi.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ujue kuwa tupo imara kwa sasaTanzania hua iaongoza kila kitu, mara uchumi, mara umasikini, utasikia Magufuli anaongoza. Hata sijui nini hatuongozi.
Tanzania hua iaongoza kila kitu, mara uchumi, mara umasikini, utasikia Magufuli anaongoza. Hata sijui nini hatuongozi.
Tuko vzr.Hakuna tusichoongoza kwa usafiri, kwa ujenzi kwa uchumi bora, kwa kulia madeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yeye pia mh. Inaonekana ni kivutio cha watalii.View attachment 1307772
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ww pia upo huru kuanzisha... Kwan akianzisha inakuuma nnWe jamaa unamapenzi ya dhati kwili na hii awamu ya 5,? au kunamgao unapata maana kila baada ya nusu saa lazma uanzishe uzi hum jukwaani
Ni hayo tu:
Wapi nimekwambia naumia?Hata ww pia upo huru kuanzisha... Kwan akianzisha inakuuma nn
Akisifia si ni yeye.... Ww unalalamika nn wakati uhusikiWapi nimekwambia naumia?
Wapi nimelalamika?Akisifia si ni yeye.... Ww unalalamika nn wakati uhusiki
Kumbe umefurahia...Bac sawa...Wapi nimelalamika?
Hapo sawa Siku nyingine uwe naakili,sio unakurupuka tuKumbe umefurahia...Bac sawa...
Huu ujinga mnaolisha watu ni yale yale mnasema eti kiswahili ni lugha ya kumi duniani kwa kuongelewa na watu wengi.
Ww usifikir kuna wajinga wenzio humu ndani... Hiyo si comment ya furaha hata kidogo.Hapo sawa Siku nyingine uwe naakili,sio unakurupuka tu
Ushamba wa kijinga!Na yeye pia mh. Inaonekana ni kivutio cha watalii.View attachment 1307772
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment ya furaha inakuajeWw usifikir kuna wajinga wenzio humu ndani... Hiyo si comment ya furaha hata kidogo.
Ina vinyota nyotaComment ya furaha inakuaje
Well said mkuu..kosa letu ni serikali ya CCM kuamini kwamba wanaostahili kutembelea na kufurahia vivutio vyetu ni wageni toka nchi za mabeberu.
..watalii wanaokuja nchini wengi wao wameshatembelea vivutio vilivyoko ktk nchi zao na baada ya hapo ndiyo hujiwekea malengo na ndoto ya kutembelea vivutio mbalimbali maarufu nje ya nchi zao.
..sasa na sisi waTz kwanza tunatakiwa tujenge tabaka la kati au middle class na tabaka hilo liwe na utamaduni wa kupenda kuchukua likizo za mapumziko ktk vivutio mbalimbali vya utalii.
..kwenye nchi za wenzetu unaweza kukuta mtoto ana ndoto ya kutembelea Buckingham palace, Eifel tower, etc etc. Au familia ina ndoto ya kutembelea White house, Statue of Liberty, au Disney World.
..Sasa jiulize ni watoto wangapi huko mikoani wana ndoto ya kutembelea Ikulu ya Dsm. Na hata wakifika hapo wataiona Ikulu, au wataona liukuta lichafu lisilopauka rangi?
..Pia watalii toka nje wanatembelea mbuga na vivutio maarufu duniani kwa mfano mlima Kilimanjaro, mbuga ya Serengeti, na Zanzibar. Vivutio hivyo vimetangazwa kwa muda mrefu sana kwa namna mbalimbali ikiwemo filamu kama , " serengeti shall never die." Kwa hiyo basi vivutio / mbuga zisizo na umaarufu kimataifa, au mbuga mpya, zinapaswa kutembelewa na waTz vinginevyo zitadoda na kuwa " kupe " wa mbuga nyingine.
..Again, sekta ya utalii itakuwa kama tutaweza kuupiga vita umasikini na kujenga tabaka la waTz la middle class lenye utamaduni wa kutembelea vivutio vya utalii nchini.