Vivutio vya utalii Tanzania na faida za utalii wa ndani

Hakuna tusichoongoza kwa usafiri, kwa ujenzi kwa uchumi bora, kwa kulia madeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko vzr.
Screenshot_2019-12-21-09-59-03-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado kwenye top 5 ya nchi zinazotembelewa sana africa hatumo.
 
Huu ujinga mnaolisha watu ni yale yale mnasema eti kiswahili ni lugha ya kumi duniani kwa kuongelewa na watu wengi.

..kosa letu ni serikali ya CCM kuamini kwamba wanaostahili kutembelea na kufurahia vivutio vyetu ni wageni toka nchi za mabeberu.

..watalii wanaokuja nchini wengi wao wameshatembelea vivutio vilivyoko ktk nchi zao na baada ya hapo ndiyo hujiwekea malengo na ndoto ya kutembelea vivutio mbalimbali maarufu nje ya nchi zao.

..sasa na sisi waTz kwanza tunatakiwa tujenge tabaka la kati au middle class na tabaka hilo liwe na utamaduni wa kupenda kuchukua likizo za mapumziko ktk vivutio mbalimbali vya utalii.

..kwenye nchi za wenzetu unaweza kukuta mtoto ana ndoto ya kutembelea Buckingham palace, Eifel tower, etc etc. Au familia ina ndoto ya kutembelea White house, Statue of Liberty, au Disney World.

..Sasa jiulize ni watoto wangapi huko mikoani wana ndoto ya kutembelea Ikulu ya Dsm. Na hata wakifika hapo wataiona Ikulu, au wataona liukuta lichafu lisilopauka rangi?

..Pia watalii toka nje wanatembelea mbuga na vivutio maarufu duniani kwa mfano mlima Kilimanjaro, mbuga ya Serengeti, na Zanzibar. Vivutio hivyo vimetangazwa kwa muda mrefu sana kwa namna mbalimbali ikiwemo filamu kama , " serengeti shall never die." Kwa hiyo basi vivutio / mbuga zisizo na umaarufu kimataifa, au mbuga mpya, zinapaswa kutembelewa na waTz vinginevyo zitadoda na kuwa " kupe " wa mbuga nyingine.

..Again, sekta ya utalii itakuwa kama tutaweza kuupiga vita umasikini na kujenga tabaka la waTz la middle class lenye utamaduni wa kutembelea vivutio vya utalii nchini.
 
Well said mkuu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom