Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Hebu tubandikie ya kada hizi please!
 
Tatizo watz wengi ni mbumbumbu hamjui kitu huo ni mshahara mkubwa sana na ndio viwango vya kada mbali mbali zinazo ajiriwa na serikali!!!
Kumbuka B ni mwalimu wa certificate
C1 ni mwalimu wa diploma anaeanza kazi
D ni mwalimu wa degree anaeanza kazi
Kumbuka kila mwaka kuna increments ( magu) alizizuia ila ni sheria pia baada ya kila miaka 4 wanapanda daraja!!!
Mfano mwalimu wa diploma aliyeanza kaz 2005 kwa sasa yupo tgts G ambayo ni 1600000/ million moja na laki sita hiyo ni gross !!! Tena angeenza vizuri angekuwa said ya G!!
Mimi sio mwalimu nikikuwa mwalimu sasa nipo idara ya mipango !! Nasema hiyo mishahara sio midogo kama watu mnavyipotosha watu!!!
Hebu weka mshahara wa
Msom wa degree was
Sociology
Mchumi
Mifugo
Human resources
Accounts
Sheria wslioajiriwa na serikali ipoje!!!
Acheni kupotosha watu wewe weka mshahara wako hapo tuone!!!mnatisha watu ili muonekane nyie mmetoboa maisha kumbe mavi matupu,!!
Huo ni mshahara mzuri na walimu wanatoboa maisha humo humo kikubwa serikali iongeze madaraja on time!!!
 
No
Watu wengi wanaishi kwa hisia tu, na kujiliza liza bila sababu za msingi.
 
Unakuta wenzako wanasubiri mishahara wewe wala hauwazi kabisa!!kwa siku unaingiza faida ya 80000/= hadi 100000/= tena unawashangaa wanavohaha!!!
 
Gross ya hao wengine wote, Degree wanaanza na Tsh 710,000 wakati Mwalimu anaanza na Tsh 716,000.

Tena sasa hivi, Mwalimu wa Sayansi anaanza na Tsh 750,000.
Siyo kweli. Kati ya hao Kuna wanaoanza na Tsh.961000/=
 
Insurance mnayokatwa ni ya kitu gani?
 
Hiyo 751800 ni take home na si basic,basic ni 940000.Shida wapi?
Shida ipo. Ulitakiwa useme ni take home na si basic.Msingi wa hoja ya mtoa mada ni Basic salary na si take home. Ndiyo maana hata pale juu ameandika viwango vya basic.Ukishasema mshahara wa TGTS Flani ni so and so automatically hapo unazungumzia basic salary.
 
Kada ya ualimu mateso ni kazi pamoja na kutokuwepo kwa posho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…