Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

Unaonekana una hoja ila umeandika kwa dharau apo ndipo umeharibu
 
Wadau naomba ufafanuzi kidogo, kuna mwalimu yuko daraja F Ila income tax anakatwa 172000/= na hapo yaonesha anatakiwa akatwe 135000/= je huyu mtu alalamike wapi ili kupata stahiki yake? [emoji120]
 
Unaonekana una hoja ila umeandika kwa dharau apo ndipo umeharibu
Sijaandika kwa dharau, ila Walimu wanajiliza liza bila sababu mpaka wanakera.

Kuna kada wakikuonesha mishahara yao mpaka unawahurumia, lakino hawalalamiki kama walimu.

Kuna watumishi wa mahakama tena wana Diploma kabisa lakini wanalipwa TGS B.
 
Iy
Iyo ya walimu wa sayansi imeanza lini tena wakuu ??
 
Sijaandika kwa dharau, ila Walimu wanajiliza liza bila sababu mpaka wanakera.

Kuna kada wakikuonesha mishahara yao mpaka unawahurumia, lakino hawalalamiki kama walimu.

Kuna watumishi wa mahakama tena wana Diploma kabisa lakini wanalipwa TGS B.
Sawa mkuu ,tuombe mamlaka husika zisikie kilio cha wafanyakaz hususan kwenye mishahara
 
Kwa wanao ajiriwa kwa sasa au watagusa mpaka walio ajiriwa zaman ??
Nadhani ndio scale zilizopo sasa hivi, na walipo kazini wanatakiwa kurekebishiwa.

Maana yake kwa Doploma wa Sayansi, ukipanda Daraja unatakiwa kwenda kwenye TGTS D3 na siyo TGTS D kama ilivyo kwa Arts.

Diploma, Badala ya TGTS C1( Tsh 530,000 ) kwa Sayansi unapaswa kulipwa TGTS C3 ( Tsh 545,000 )
 
Mama ametufuta machozi yule mwamba(jpm)alitufanya watumishi tukose tumaini.
 
Labda kada zingine kuna raha.Mtu ni mwalimu anafunga shule mara 4 kwa mwaka,ana likizo na anatoka kazini saa 8.30 mchana na hana Kazi ya pressure,hiyo ni Kazi nzuri Sana.

Nadhani sijaandika tuu mazingira ya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…