Mwanangu wewe umenisoma kabisa ..ngoja ntakucheki ...yan kuna sehem ukiwepo unaskia raha tu hata unainjoi kampan..warembo classic na hawana NJAAA...Hapo huwa kuna totoz kweli ? Huwa nahisi totoz za kitambaa ndio zinaenda hapo kuwinda dk za mwanzo wa mchezo, then zinajikataaa badae.. kama anataka raha asogee Las Vegas Casinos pale 🚨
Mkuu sio kwa ubaya ila ukipata pesa tumia ,,unaweza kubania gafla unateleza unakita kichwa kwenye jiwe kwisha habar yako, waliobaki wanachukua mali zako wanaenda kutumbua..Dalili za kushika hela juzi hizi.
Anyway ingia havoc, wavuvi, and the likes kama unajiweza
Labda awe malaika 😃 😂Mpe laki mbili tu itamsaidia
Hutaombwa kabisa ila mashaka yangu ni unaweza kuomba mwenyewe utoe offer maana majaribu ni mengi sanaKwaio mkuu uhurumoja unaniambia hizo sehem ulizonitajia nikifika sitaombwa bia na kuambiwa matatizo ya ukoo mzima ..na zaid wanajipenda yan wananukia hata bia zao ni flying fish sio safari...kama pombe kali basi vodka
Sogea hapo hutojutia 😜😜.. huko kwingine matoto yale yale ya uswazi yanasogea mida flani, soko likiwa gumu yanarudi yalipotoka.. unakuta manzi kitambaa inajiuza elfu 30, ukiikuta huko Amell inajiuza laki mbili.. kama hujui unapigwaaa 😅😅😅Mwanangu wewe umenisoma kabisa ..ngoja ntakucheki ...yan kuna sehem ukiwepo unaskia raha tu hata unainjoi kampan..warembo classic na hawana NJAAA...
Kuhusu totoz honestly sijui😄nilishawahi kwenda hapo two or three times na nilikutana na watu classic japo wawindaji wa kawaida kawaida pia huwa hawakosi.Hapo huwa kuna totoz kweli ? Huwa nahisi totoz za kitambaa ndio zinaenda hapo kuwinda dk za mwanzo wa mchezo, then zinajikataaa badae.. kama anataka raha asogee Las Vegas Casinos pale 🚨
Io The Voice kama ni ya kinyerezi basi amefika sehemu sahihiPoa Felakuti ila viwanja viko wazima sana kwa unavyotaka wewe ni samaki samaki, warehouse,element,the voice ,heart choice n.k
Uchoyo huoLabda awe malaika 😃 😂
Totoz zipogo tu, sema zinacheza na saikolojia ya mazingira. Ukitaka kujua zinafanya biashara nenda dakika za majeruhi, huwa zinasaka goal kwa nguvu sana hata kwa kulazimisha ikibidi . Ndio maana wanunuaji wanaamkiaga alfajiri kuchukua mipira iliyojifiaKuhusu totoz honestly sijui😄nilishawahi kwenda hapo two or three times na nilikutana na watu classic japo wawindaji wa kawaida kawaida pia huwa hawakosi.
Huko ndo kuna totoz eenh?
Haya mleta uzi ngoja akapambane.Totoz zipogo tu, sema zinacheza na saikolojia ya mazingira. Ukitaka kujua zinafanya biashara nenda dakika za majeruhi, huwa zinasaka goal kwa nguvu sana hata kwa kulazimisha ikibidi . Ndio maana wanunuaji wanaamkiaga alfajiri kuchukua mipira iliyojifia
Bora kuwa mchoyo, sio brokeUchoyo huo
Kama ni mpita njia kama alivyoeleza huko kutamfa aweze safisha tongotongo.Poa Felakuti ila viwanja viko wazima sana kwa unavyotaka wewe ni samaki samaki, warehouse,element,the voice ,heart choice n.k