Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Hao si matajiri wana hela ya kula na kubadili mboga. Hao ikitoka awamu moja ikija ingine wanakuwa Hoi.
Ha haaa umeongea kama mama yangu,anasemaga hii tabia ya wadada kuomba mihela mikubwamikubwa ni sababu wameharibiwa na wapigaji wauza unga maana Hela zao haziumi...
 
Basi mngekuwa mnaolewa na machizi
Maana yake ni kwamba huyo mtu potential sio lazima awe kwa ajili ya huyo dada. Kwamfano mimi naweza kuwa wife material lakini sio material kwa ajili yako. Kwahiyo we ukinikataa nikawa nang’ang’ania kuwa Mzabzab hanitaki wakati mimi ni wife material, nakuwa nimejipa umuhimu nisiokuwa nao kwako. Hope umeelewa.
 
NAKAZIA
 
Kuna mmoja Iringa alinisaidia nilipoumwa tumbo nikiwa safarini. Baada ya siku mbili tatu za kuwasiliana ananipiga kizinga cha kodi ya miezi 4 Tsh 240,000 nikamchana aache njaa.
 
[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…