Hivi kumbe umbea ni entertainment wewe zee wewe?Jamani sio kwamba tukipiga story za kina kajala na wema hatuwezi kuongelea business au kufanya hizo business. Ni entertainment tu ambayo wengine tumechagua kama nyie mnavyozungumzia mpira.
usije ukanipiga mzinga sasaKUna watu umewazidi akili!
Hongera
Huyu Kijana mshamba_hachekwi mwaka huu kwenye 🎓🎓 🎓 atatutoa kimasomaso Wana familia JFKUna watu umewazidi akili!
Hongera
Labda usiingie 18 zangu!😂usije ukanipiga mzinga sasa
Wanawake wa JF Mungu aanawaoneni. Kuna demu mimi na Sumbalawinyo tulikuwa tunamchezea akili, tumemvaa kwa pamoja, mizinga anayo nipiga mimi ndiyo anayompiga Sumba
ExactlyLakini mbona ni rahisi sana kukabiliana na hiyo mizinga.
Ukishaona hivyo we poteza tu namba zake, kwisha habari.
It’s not rocket science.
Usiniambie utaenda!Huyu Kijana mshamba_hachekwi mwaka huu kwenye 🎓🎓 🎓 atatutoa kimasomaso Wana familia JF
Wee naachaje kwenda na maua huko?kufanya vitu viwili Kwa wakati Mmoja sio jambo Dogo....maana humu yupo 24/7na chuo yupo 24/7 si mchezo😁😁😁😁Usiniambie utaenda!
Ha🤣😃😃, Bora mni ueee🤔, wee ma deli Mia hayo 🤣Ila tajiri mwenzangu ananiangusha sana, tajiri ukiombwa laki Saba unatuma 7 na nusu na ya kutolea...😁😁😁
Mtanitumia picha za huko!Wee naachaje kwenda na maua huko?kufanya vitu viwili Kwa wakati Mmoja sio jambo Dogo....maana humu yupo 24/7na chuo yupo 24/7 si mchezo😁😁😁😁
Sawa,tutakutumia usijali.Mtanitumia picha za huko!
Mimi aje afate maua yake kwetu lindi.
🤣🤣🤣Bora muninyongeeeeeHa🤣😃😃, Bora mni ueee🤔, wee ma deli Mia hayo 🤣
Nili kua site Leo, nashangaa Mvua hiyoo.🤣🤣🤣Bora muninyongeeeee
Mdogo wangu Kuna wanawake ni mabregedia huko TPDFNili kua site Leo, nashangaa Mvua hiyoo.
👉Afu usikie tuma laki 7 😄
Dah wapite mbali na Mr Dell😃🤒Mdogo wangu Kuna wanawake ni mabregedia huko TPDF
Yaani atahakikisha Hadi madeli unaweka bond ukope pesa ulipeDah wapite mbali na Mr Dell😃🤒
Yaah kwangu mimi umbea/habari za mastaa nmezicategory kama entertainment news...wew unauweka kundi gani?Hivi kumbe umbea ni entertainment wewe zee wewe?
👉Wata isoma namba😃🤣🤒Yaani atahakikisha Hadi madeli unaweka bond ukope pesa ulipe