Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Iko mtu moja siijui kwa majina ilishawahi kuisema '' If you spend time and energy to chase butterflies they will fly away and you won't get them, but if you spend your time and energy creating a beautiful garden they will come throught it and you will get them easily'' Translation....''kama unatumia mda wako na nguvu kuwakimbiza vipepeo, watakimbia mbali na hutowapata, ila kama utatumia muda wako na nguvu kutengeneza bustani nzuri, basi watakuja kuifuata bustani yake''.
Maelekezo kwa ufupi....This is a law of attraction which simply says ''attract don't chase''.
 
Usi jifanye huelewi😁, nataka tuunde msingi imara πŸ˜πŸ˜ƒ.
πŸ‘‰Nita tulia mnoo, hebu niongoze- achana na wachawi kina Ivan Stepanov Wana tumika na ibilisi kuni chafua πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒ
🀣🀣🀣🀣Yaani nimecheka
Ivan Stepanov ndo anatumikaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Nawe unapenda mashangazi kwani?🀣
 
Umemaliza kila kitu mkuu.
 
Kuoa wake wengi waliona mbali mke mmoja humuwezi bila competition.
Jiulize kwann ndoa za Kikristo ndio zinazosumbua zaidi kuliko za waislamu
Asikudanganye mtu. Ndoa zetu zina matatizo yale yale kama nyie makafir. Sema tu sisi leo unamwacha kesho unaoa mwingine. So naye anakuww anogopa na taraka ni haki yake. Akizingua either namwacha au naoa mwingine.
 
Hahaha et mama mdogo ana fibroids πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aisee mm sitoi hela hio an,
Mama mdogo ana siblings wake, ana mume/ mpenz wake,, ana ndugu zake kibao, siingilii kesi mm
Tena ifike muda wawe wakali, mama mdogo si muhusika katika mapenzi yenu.
 
Kweli.

Kama mtu una discernment, si vigumu kumbaini mtu ni wa aina gani kupitia maongezi tu ya kawaida.
Tatizo wengi wanapenda kupitiliza hatakama wanaumizwa.


Kitu kingine ni ile ashiki bana watu wanajua wanawake wana radha tofauti, tutambue kinachowatofautisha ni tabia tu ambazo wengi hushindwa kuachana na wawapendao kwa kuangalia shepu ila ile tabia hata ikimuumiza habadili mwendo.

Wengi wanaokuja humu ukiwasoma vizuri huwa ni wapo kwenye ujana yaani wazee wa shepu sasa kitu kinaitwa Demu si ni malaya type 3 hawa mnaombwa pesa na malaya type 3 kwa kufikiri wachumba watu wanafanya biashara bana ukiona shoga zake wanasema lile buzi lako manake wewe ni mgomba ulioiva/komaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…