Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Nacho maanisha kuna wanawake wanajikuta wagumu , wana hide status zao kwa kuigiza ukachero ili kutuwekea ugumu kuwaganda hivyo si kila mwanamke utaweza mjua kwa mazungumzo yake ni lazima uingie kati ucheze kwanza ndiyo utamjua
 
Na masikini wa mali na akili wataolewa na nani?
Kuna watu wataendana nao tu, inawezekana ni masikini wa mali na akili wenzao.

Hata wasipoolewa, kwani mimi ni kazi yangu kuhakikisha kila mwanamke anaolewa?
 
hao ndio wanawake yaani tunalipa kodi ya kukaa miezi tisa kwenye matumbo yao mpaka kaburini!
usipolipa kihalali kwa mama yako basi utalipa kitaa na riba juu.
 
Eti ndugu wanakufokea😆🙄
Ila km wenyewe mkielewana vzr mtaweka mipaka ndugu hawana nafasi!
 
Kuna watu wataendana nao tu, inawezekana ni masikini wa mali na akili wenzao.

Hata wasipoolewa, kwani mimi ni kazi yangu kuhakikisha kila mwanamke anaolewa?
Mim sijasema kua ni kazi yako kuhakikisha kila mwanamke anaolewa.

Ninachotaka kusema sasa ni kwamba utajiri na umasikini si kipimo sahihi cha ndoa kwa mwanamke, utayari wa mtu ndio kitu pekee.
Wewe kuoa mwanamke tajiri wa akili na mali hakuna maan ya kwamba ndio usahihi kweny maisha.
Unaweza pata huyo tajiri na vizinga vyake uvikimbie na unaweza pata huyo unaeona ana akili lakin ikafika mahala ukaona kwamba anakupanda kichwani yeye ndo anataka achukue nafasi ya ubaba katika familia na mahusiano

Ndoa, mahusiano ni utayari wa mtu wa moyo.
Mim naona hivo.
 
Eti ndugu wanakufokea[emoji38][emoji849]
Ila km wenyewe mkielewana vzr mtaweka mipaka ndugu hawana nafasi!
Ndiyo kazi ya mwanamke sasa kuweka mipaka na ndugu zake. Asilete uzungu ili fikra za kumuoa zinijae akilini maana kiukweli yupo smart sana kichwani nakiuwajibikaji anajua nini maana ya mwanaume na ipi ni nafasi ya mwanamke na yapi ya kufanya. Shida ndugu zake naona kama wanataka kujakunitawala
 
Mkuu mbona kutokana na maelezo yako unaonekana kama wewe bado safari ni ndefu..?😄😄
 
Kwani wapi nimesema utajiri na umasikini ni kipimo sahihi cha ndoa kwa mwanamke?

Kuna watu matajiri wanatafuta wanawake masikini wa kuoa, hawataki kuoa matajiri wenzao. Kwa sababu zao zozote, na kwa hawa ni sawa wakioa mwanamke masikini wa mali na akili. Hicho ndicho wanachotafuta.

Juzi nimeona kuna mtu katoa tangazo hapa JF anatafuta mke, kasema vilema watapewa upendeleo. Huyo mtu ana sababu zake za kusema hivyo.

Nilikuwa namjibu huyu mwanamme asiyependa wanawake tegemezi, na wanaume kama yeye, kwake yeye mwanamke masikini wa mali na akili si mwanamke sahihi wa kuoa.

Kwa sababu mwanamke huyo ni tegemezi, na mwanamme huyu hataki mwanamke tegemezi, hivyo, ni wazi hawataendana.

Ni suala la kufanya match tu ya watu watakaoendana kuepuka mizozo ndani ya ndoa.

Hao masikini wa akili na mali kuna watu wanasema mapenzi ndiyo kitu muhimu, hayo mengine wataelewana ndani ya ndoa, ili mradi kuna mapenzi. Kwa watu kama hao ni sawa kuoa masikini wa akili na mali.

Kuna watu wanaoa kwa kuangalia tako tu. Na hiyo ni haki yao ya kikatiba na kiutu, ilindwe.
 
Asikusanganye mtu. Ndoa zetu zina matatizo yale yale kama nyie makafir. Sema tu sisi leo unamwacha kesho unaoa mwingine. So naye anakuww anogopa na taraka ni haki yake. Akizingua either namwacha au naoa mwingine.
Sasa tufanyeje sasa maana kuoa tunataka lakin vitimbi vyao ni mtihani
 
Mbavu zangu🤣😃😃, nita rejea kujibu mapigo.
👉Haiwezekani Ivan Stepanov Ani chafue jimboni kwako😝
Kakuuliza ,unapenda mashangazi? Mbona unaruka ruka vitu vya msingi unakimbia kimbia??

Tayana-wog Naomba nimjibie, huyu dogo anapenda mashangazi ila sio wale vimbau mbau ..Mashangazi yanakua na nyama nyama, wale wembamba wanaitwa vishangazi
 
Haya sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…