Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

Putin ni fyatu. Urusi ina maslahi gani yatakayopatikana kwa kuisumbua Ukraine? Nani anahitaji utawala wa Putin huko Ukraine?

Anapoteza bilions of dollars huku nchi yake imerudi nyuma kiuchumi inategemea zaidi kuuza raw materials na silaha?

Hata China wanamcheka kinafiki.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] garbage
 
USA kaufyata
Chaliii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
20220220_105028.jpg
 
Watu wengi humu wanaongelea kuhusu Putin kiubaya lakini hamjui nia yake nini! Je anajilinda dhidi ya maadui wake kumkaribia?

Kwann Crimea ilichukuliwa na Russia? Because of the potential oil/gas reserves ya black sea.
Leo hii Crimea hakuna kampuni itakayoenda kufungua biashara kwanin eneo Zima limepigwa sanction in short Crimea Haina faida kwa Russia
 
Tatzo humu ndani watu wanamlaumu putin bila kujua sababu..
Afu nmegundua watz wengi hawajui vitu vingi wao kazi yao ni kusoma vichwa vya habar ya ulaya na us na kumlaum putin bila kujua hata chanzo ni nn...
Safi sana Putin.. wao si wahuni tuone sasa
Blinded mind hao achana nao [emoji16]
 
Unafikiri Vikwazo vina athari gari kwa Russia? N KOREA ana vikwazo toka miaka ya 50 huko lakini angalia mambo yake yanavyotisha. Ukiwekewa vikwazo akili inakaa sawa ndo unawaza kupamban zaidi tofauti na sisi tunaopewa msaada hadi wa sindano.

Unafikiri Rusia ni sawa na Malawi?
Mwambie huyo watu kama wana tech ya kurusha vyombo angani na kurudi unaanzaje kuwa chukulia poa Sasa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji91] pro Americans siwalisema hakuna Vita sijui nyoko nyokoo Russia waoga ,[emoji16]
Mbona marekani alisema Putin anataka kuvamia Ukraine na kweli baadhi ya maeneo ameshachukua hizo habar zako kwamba hakuna vita ni za wapi
 
Fikiria jamaa wana kuja apa wana mwambia mkuu wa majeshi ajisalimishe !!
Hivi jeshi letu na la Ukraine lipi lipo vizuri[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Watu hawataki vita. Hakuna alieufyata. Hakuna anaetaka kuanguka kwenye mtego wa huyo Schezophrenic Putin. Watu wanaangalia humanity kwanza. Hakuna anaemwogopa Putin. Sema watu wenye akili hawataki vita.
Wewe ndo hutaki vita....Watu kama hawataki vita..military alliances ni za nini...NATO mpinzani wake alikua SOVIET UNION na warsaw pact...vyote hivi havipo....unafikiri ni kwa nini bado NATO ipo na inazidi kuexpand....NATO ndo chanzo cha haya matatizo
 
Back
Top Bottom