The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Ujiulizi kwamba juzi alipoambiwa anakimbia akakataa, lakini leo anakiri mwenyewe amekimbia. Jiongeze
Kwani serikali pendwa ya Mnyenyekevu Jiwe ilikuwa tayari kuua raia wake kisa kuandamana? - wewe hukuandamana kwa sababu ya uoga wako tu!, Tangu Lini mnyenyekevu Jiwe akaua raia wake?Mfano mfu. Kama amekimbia kujipanga,vipi kuhusu watanzania waliokuwa akitusukumia tuingie kwenye anga la huyo swila tung'atwe? Alitusukuma tuandamane tufe na kuvunjwa viongo vyetu. Jiongeze na chukua hatua. Lissu ni mbinafsi sana.
Mfano mfu. Kama amekimbia kujipanga,vipi kuhusu watanzania waliokuwa akitusukumia tuingie kwenye anga la huyo swila tung'atwe? Alitusukuma tuandamane tufe na kuvunjwa viongo vyetu. Jiongeze na chukua hatua. Lissu ni mbinafsi sana.
Ambaye angeua watanzania wakati wa maandamano ni hao hao CHADEMA ili kusingizia kuwa mauaji yamefanywa na serikali. Nadhani unajua jinsi akina Mbowe na wengine walivyokamatwa wakipanga mbinu za kuchoma vituo vya mafuta, kuuwa na kufanya kila aina ya uharibifu wakati wa maandamano hayo. Tunashukuru watanzania waliwashtukia. Hakuna aliyeandamana.Kwani serikali pendwa ya Mnyenyekevu Jiwe ilikuwa tayari kuua raia wake kisa kuandamana? - wewe hukuandamana kwa sababu ya uoga wako tu!, Tangu Lini mnyenyekevu Jiwe akaua raia wake?
Chadema wana bunduki?Ambaye angeua watanzania wakati wa maandamano ni hao hao CHADEMA ili kusingizia kuwa mauaji yamefanywa na serikali. Nadhani unajua jinsi akina Mbowe na wengine walivyokamatwa wakipanga mbinu za kuchoma vituo vya mafuta, kuuwa na kufanya kila aina ya uharibifu wakati wa maandamano hayo. Tunashukuru watanzania waliwashtukia. Hakuna aliyeandamana.
Nani alikwambia kifo kinasababishwa na bunduki pekee?Chadema wana bunduki?
huna hoja!Ambaye angeua watanzania wakati wa maandamano ni hao hao CHADEMA ili kusingizia kuwa mauaji yamefanywa na serikali. Nadhani unajua jinsi akina Mbowe na wengine walivyokamatwa wakipanga mbinu za kuchoma vituo vya mafuta, kuuwa na kufanya kila aina ya uharibifu wakati wa maandamano hayo. Tunashukuru watanzania waliwashtukia. Hakuna aliyeandamana.
Sijamtaja Lissu na wale serikali haikumtaja kwenye waliokuwa wanaandaa njama hiyo ndiyo maana aliruhusiwa. Waliohusika unawajua na bado wanareport police huku upelelezi zaidi ukiendelea.huna hoja!
Wangekuwa wamekula njama kufanya jinai hiyo, serikali ingezuia Lissu asiende nje ya nchi mpaka afikishwe kwenye mkono wa sheria kwa njama hizo.
Serikali isingempa Lissu passport na kumruhusu Kuondoka mpaka afikishwe mahakamani kwa kupanga kufanya jinai
Lissu ni mjanja anawasukuma wengine waumie yeye anakimbia kwenda kula batahuna hoja!
Wangekuwa wamekula njama kufanya jinai hiyo, serikali ingezuia Lissu asiende nje ya nchi mpaka afikishwe kwenye mkono wa sheria kwa njama hizo.
Serikali isingempa Lissu passport na kumruhusu Kuondoka mpaka afikishwe mahakamani kwa kupanga kufanya jinai
Hakuna takwimu ya UN kuhusu suala la furaha. Ni vitaasisi binafsi tu hivyo. Kama una ushahidi uweke hapa. HakunaWatanzania hawajampuuzi Lissu bali watanzania ni watu waliojikatia tamaa sababu ya vitisho na Ubabe wa Jiwe na CCM yake.Kumbuka Tanzania kulingana na takwimu za Umoja wa Mataifa ni Moja Kati ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha!
Lissu alikuwepo kwenye press conference iliyotangaza maandamano nchi nzima na aliyaitisha!Sijamtaja Lissu na wale serikali haikumtaja kwenye waliokuwa wanaandaa njama hiyo ndiyo maana aliruhusiwa. Waliohusika unawajua na bado wanareport police huku upelelezi zaidi ukiendelea.
Anakuwa vitani Halafu anaanza kubweka ohh adui zangu wanataka kuniuaShujaa anaogopa kufia vitani?