VoA: Lissu aomba Rais Magufuli kufanya maridhiano na wapinzani wake

Anakuwa vitani Halafu anaanza kubweka ohh adui zangu wanataka kuniua

Lisu kajaa utoto utoto mwingi sana
Anamaanisha, Vita vya kidemokrasia na mifumo, siyo vita vya bunduki, nyie MATAGA muwe mnaelewa!

Laiti angemaanisha vita vya bunduki angetafuta kikosi kazi cha kupiga show!. Lakini si njia aliyoichagua.
 
How idiot you are!!
 
Uongo unawaidia nini,mpk kwenye vyombo vya wenzenu mmataka kuvisemea!!!
Sasa nimeamini ukiwa CCM lazima dishi liyumbe
 
Kma Wapalestina na Waisraeli wanakaa ktk meza ya maridhiano kuondoa tofauti zao kuna ubaya gani Watanzania tukifanya hivyo?

Mandela na De Klerk walikaa wakayazungumza. Mugabe na Ian Smith waliandika katiba mpya kwa pamoja. Mifano iko mingi tu.

Hakuna namna ya kutoka ktk mkwamo huu bila KUZUNGUMZA na kutafuta MARIDHIANO.
 
Lissu alikuwepo kwenye press conference iliyotangaza maandamano nchi nzima na aliyaitisha!

Sasa naona huna hoja!
Kumbuka taarifa ya SACP Mambosasa ilitaja waliokuwa wanapanga mbinu za ualifu wakati wa maandamano, haikuwa orodha ya wote walioshiriki press release iliyotangaza maandamano. Akina Mnyika walishiriki press release lakini hakukamatwa. Halima Mdee hakuwa kwenye Press release lakini alikamatwa. Jiongeze.
 

..wangekuwa wanataka kufanya UGAIDI wangeswekwa ndani, na wasingepata haki ya dhamana.

..Mambosasa amelenga kuwasumbua na kuwa-frustrate wasipate muda wa kufanya shughuli zao, iwe za binafsi au za chama.
 
Mkuu, maridhiano si
Hiyo hapo ripoti.Usipende kubishabisha

Hii siyo report ya UN. Hii ni propaganda tu ya BBC. Hakuna report rasmi ya UN kuhusu vipimo vya furaha ya watu. Hakuna
 
 
Mimi sijui masikio yangu ni mabovu? Hiki alichokiandika mtoa mada sijakisikia
 
Lisu aache kujifanya mjuaji. Jiulize kwa nini TL anabadili kauli leo hii? Huyu huyu TL alikuwa anamtukana JPM kwenye mikutano yake kwa kujidai na kujiona yeye ni mwamba, hata siku anapoondoka Tanzania alionyesha furaha tele lakini alipotua Belgium amebadilika na kuwa mpole. Kulikoni? Ati sasa anasema Muheshimiwa JPM?

I can bet you my last nickel amegundua kwamba wale mashoga zake hawamtaki tena kwa sababu mission waliyokuwa wamepanga naye haikufanikiwa. Sasa anakuja na janja nyingine ili aendelee kuwakamua wazungu kwa kumfadhili katika maisha yake. Watanzania wameonyesha kwamba Rais Jemedari wao ni JPM na hakuna chochote kile ambacho USA pamoja na washirika wao wakubwa Europe na Japan wanachoweza kufanya.


Tanzania ya leo sio ile ya Jana sisi tunasonga mbele na maendeleo yetu yanawafanya watu wengi hasa USA pamoja na Ulaya wababaike. Wakati wao wanahangaika na Corona sisi tunachapa kazi wanaona aibu kufahamu siri yetu chini ya mwamba JPM. Hapa kazi tu!
​
 
Mjinga tu huyu kibaraka. Yeye ndio hana uhuru wala haki ya kupractice ushoga. Uhuru na haki iko tele tanzania ndio maana watu wamemnyima kura na kumpuuza. Eti kenya nchi inayoongoza kwa ufisadi na ukabila ndio wanajidai kuisifu kwa demokrasia kwa kua wao wanachotaka ni kurudisha ile hali ya wachache kufisidi fedha na mali ya umma huku wakilindwa na mahakama zilizojaa ulaji rushwa. Ulaji rushwa mahakamani wao ndio kwao uhuru wa mahakama. Kenya ambapo demokrasia yao imemuibia mara tatu odinga ushindi wa urais eti ndio mfano wa lissu wa demokrasia. Lissu ni kibaraka mkubwa hadi tumempa jina robot. Aende zake watanzania hawamtaki.
 
Anashangaza sana, yaani Kenya na uendeshaji wao ovyo wa uchaguzi inayojaa mauaji ya maelfu ndiyo anaitolea mfano wa nchi ya demokrasia. Hiyo ndiyo akili ya Mzee wa mambo ya faragha akiwa kwenye mambo ya faragha Ulaya.
 
Wana lumumba hamjambo kwa propaganda chafu dhidi ya Lissu.Watanzania kamwe hawakumtupa Lissu kwenye kura,itoshe kusema kwmba hata hizo kura alizopata si haba,ni za watanzania pia.Halafu kushauri kuwepo kwa maridhiano hizo ni siasa safi za kujenga nchi,upinzani si ugaidi ni kuwa na mawazo mbadala yenye muelekeo chanya.Ndiyo,mshindi wa uchaguzi alipatikana na ameanza majukumu ya kazi yake.Ni ushauri murua kuwepo na maridhiano siasa si chuki na uhasama,ni tofauti tu za kimawazo katika kujenga nchi
 
Hakuna tofauti kati ya Lissu na Mange. Wote wamepokea pesa ili Magufuli ang'olewe madarakani kwa faida ya mabeberu
Sasa waTZ hawadanganyiki. Mange alitutukana kwa kuwa hatukuandamana. Lissu anaongelea maridhiano. Same, same, same. Hatudanganyiki. Period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…