VoA: Lissu aomba Rais Magufuli kufanya maridhiano na wapinzani wake

Mleta mada hakusikia hata tofauti ya kauli na ripoti za waangalizi wa AU na EAC.

Wala kusikia tofauti ya Kenya na hizi nchi zenye marais wa maisha kuhusika na ripoti potoshi kama hizo.

Hakusikia pia kuwa kuna mwingine yumo njiani kuelekea kwenye huo u milele.
 
Huyu jamaa yenu anatapatapa. Alijidanganya anaweza kuwa Rais sasa ameaibika hana sera tena. Yaani kwishinei kabisaa

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Watz ndo waliandaa zile kura FEKi za kwenye mabegi ?!!
Kura feki zile Chadema wenyewe walitengeneza movie baada ya kuona hali ni tete ili wapate kisingizio cha kuibiwa kura. Pale kawe tuliishia kuonyeshwa mabegi yenye kura lakini hatukuona huyo mtu waliyemkamata na huo mzigo wa mabegi, Cha ajabu tukaonyeshwa eti zile kura feki wanazichoma Moto, maajabu kweli waliwezaje kuuchoma ushahidi ambao ungejustify madai yao ya kuibiwa kura? Halima Mdee ni mwanasheria aliruhusu vipi ushahidi uchomwe Moto? Na huyo waliyemkamata na kura feki yuko wapi?
 
Kipengee pekee nilichokiona kina tija ni maridhiano na wapinzani walau kukiganyika Hilo kunaweza punguza .maumivu ya wapiga KURA. Kila mtu anatathimini ukweli na mchakato mzima wa uchaguzi na kuona kuwa kuna hujuma zinazofanywa na baadhi ya vyombo (NEC)kuhusika kwa namna moja au nyingine.
Matukio ya vurugu kwa wapinzani,kamata kamata ya wagombea wa upinzani, kupita bila kupingwa,,na kuwepo kwa vituo hewa,na kura feki zilizokamatwa zinanyima uhalali wa UCHAGUZI MKUU na ushindi wake wagombea wa chama kimoja unaonekana mufrisi. Sasa kufanya maridhiano ni kufanya vifua kupumua na kutoa ya moyoni ya watu na wapiga kura kwa ujumla AMANI YA KWELI IPO KWA MAZUNGUMZO tofauti na hilo ni visasi
 
mim mtanzania wa kawaida nikipata ugali wang tembele la ndimu papa wa naz na juis nimemaliza.higher levele of happy nes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugaidi hauna dhamana, ukiona watu wako nje kwa dhamana halafu polisi wanasema walipanga kufanya Ugaidi basi jua hayo ni mashitaka ya kubumba
 
Watanzania hawajampuuzi Lissu bali watanzania ni watu waliojikatia tamaa sababu ya vitisho na Ubabe wa Jiwe na CCM yake.Kumbuka Tanzania kulingana na takwimu za Umoja wa Mataifa ni Moja Kati ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha!
Sema umejikatia tamaa wewe mwenyewe plus huyo Mr Mzungu aliyejitorokea mapema kwa kushindwa uchaguzi na kushindwa kuleta uchafuzi nchini. Nothing more, nothing less.
 
Watanzania hawajampuuzi Lissu bali watanzania ni watu waliojikatia tamaa sababu ya vitisho na Ubabe wa Jiwe na CCM yake.Kumbuka Tanzania kulingana na takwimu za Umoja wa Mataifa ni Moja Kati ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha!
alipuuzwa mapema sana.huwez kunifos niingie barabaran eti kuwapigania ugali wenu.watoto wao wapo wap? US of a baby wang meme hapa hapa bongo so siwez fanya hio kitu.
heko kwa elimu bure sasa hiv watoto wana uhakika wa kusoma na kutoboa.
heko kwa kituo kipya cha mabas ambacho kitakua cha kwanza afrika mashariki na kati.tubasubir na umeme wa stigla tumemaliza na ndege mpya ya mizigo inakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reconciliation ni agenda inayopaswa kutumika kule Marekani kwa Trump na JB angalau ndio wenye uwiano mzuri wa kura za wananchi. Huwezi kufanya maridhiano na mtu kama Mr Mzungu aliyeshindwa uchaguzi vibaya, mtu aliyejikatia tamaa, mtu mwenye uchu na tamaa ya madaraka kwa gharama ya ghasia, fujo, ukuwadi wa rasilimali za nchi na umwagaji damu, mtu ambaye midomo yake ikifumbuliwa inawaza vikwazo na kunyimwa uhisani nchi yetu. Shame on anyone who favors or supports such puppet! Hiyo ni ignorance of the highest order. Nakubaliana sana na sera ya Israeli: We do not negotiate with terrorists. Nasi pia: We should never negotiate with puppets & egocentric sadists.
 
umefurahi siyo,akili 3 ni shida
 
Ulitaka aingie msituni?

Kinachopiganiwa sasa ni kupata tume mpya ya uchaguzi na katiba mpya na kibinyo kwa serikali ya Magufuli ili ifanye reforms za msingi. Kana ulidhani Lissu yuko nje ili kuopanga jama za kumpindua Magufuli basi uikosea sana
Complete lie! Go see recent posts za yule wakili wake mshamba. These guys are serial losers and trollers.
 
nani alishindwa? Ndizo akili zenu mbovu za mavi. Unaiba kura za upinzani kwa mabegi yenye ticked ballot papers, unajisifu umeshinda! shame on you!
Unashindwa hoja, unabaki kugwayagwaya & kutukana? So pathetic and uncivilized character that you are! Who does not know that you had a comprehensive, pre-planned strategy to resort to fake ballot papers you had produced before in order to try to deceive and convince your unsuspecting sponsors that the election had been actually rigged? You were caught almost red-handedly & you should be SERIOUSLY ashamed of that!
 
Wewe kwa akili zako unaunga mkono massive vote rigging iliyofanyika?
Utakuwa unatetea tumbo lako wewe!

The only "massive vote-rigging" known to everyone, that almost occured, ni ule mpango mchafu wa Mr Mzungu ulioshindikana alipokuwa akijaribu kila njia ili kuvuruga uchaguzi na kuchochea ghasia, fujo na machafuko na maandamano batili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…