Niliwahi kumsikia bosi mmoja wa mtandao flani akisemezana na staff wenzake. Nanukuu, "Jamani tuwe wa kweli tu, hivi sisi kama staff tukivaa viatu vya wateja wetu je tutaweza hata kununua hata kifurushi cha wiki!?"
Nilichomuelewa mimi ni kwamba;
Nilichomuelewa mimi ni kwamba;
- wao kama stafff wanamenu yao tofauti na wateja wao
- wanapewa muda wa hewani kila mwezi kila staff kulingana na position yake
- consumption ya Data kati ya staff na mteja ni tofauti kabisa. Eg. Wote wakinunua 2gb itumike ndani ya wiki, data ya mteja itakata siku moja tu baadae. Lakini staff anaweza kutoboa nayo wiki nzima.
- mishahara ya stafg ni mikubwa, that means mteja ndie anaeumia kwa kunyonywa.
- serikali inakusanya mapato makubwa kupitia mitandao hii, hivyo mteja lazma aumie na asitegemee kushuka kwa ghalama za Data.