Kuna kampuni naona kabisa zikifungasha virago kutoka na huu uhuni wa Mwigulu. Kama Zantel waliondoka nini kitawashinda wengine kuondoka?Kosa kubwa la Rais na wasaidizi wake ni kufanya maamuzi bila kutafiti na kuwashirikisha wadau kuwa waelewe wanataka kukatwa nini na kwa ajili ya nini...
Huwa sielewi alipataje PhD ingali mambo madogo kama haya ambayo hata mtu wa darasa la Saba anatoa analysis nzuri ya effect ya hii tozo especially Kiwango wallichoweka na makato mara mbilimbili wanatotoza.Siyo chonde chonde ila ni hopeless kabisa huyu jamaa. Huwa namfananisha na wale manamba wa kwenye mashamba ya katani zamani. Akili ndogo sana huyu jamaa.
Nani amkumbuke?Mtanikumbuka - JPJ Magufuli
Sasa wale wazee wa tuna na yakutolea wataishijeNani mjinga wa kutuma pesa kwa haya makato ya kijinga?
Kutoa pia utatoa mara ngapi ili ukatwe kidogo?Plan B [emoji23]
View attachment 1859838
Enzi za mwendazake huyu jamaaa aiseeHawa wanatutoa kwenye lengo la katiba mpya
My take Tozo zirudi za zamani na katiba tuendelee kudai.View attachment 1859865
Angepeta kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji.Enzi za mwendazake huyu jamaaa aisee
Jiuzulu.,.. najaribu kumaliziaMwigulu chonde chonde
Angepimwa mkojo kwanza.... ha ha haAngepeta kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji.
PhD za wanasiasa walio madarakani tena walizozipata katika vyuo vya ndani, zote zinawalakini.Huwa sielewi alipataje PhD ingali mambo madogo kama haya ambayo hata mtu wa darasa la Saba anatoa analysis nzuri ya effect ya hii tozo especially Kiwango wallichoweka na makato mara mbilimbili wanatotoza.
Halafu amekaaga mshamba sana nahisi hii ndio tatizo atakuwa shule ndio ilimleta mjini.
Na kwenye posho, mishahara na pensheni za wabunge - hapa kuna mamilioni ya kodi yamelalaWangeweka kodi ya uzalendo kwenye pombe, sigara, kwenye kamari, utalii, madini nk
kwanza hata asingeongea kituAngepeta kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji.