Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
mshakalia dole gumba gWanapaluhengo watatusamehe tu leo kwa kuwa hakuna namna.
Hahahaaa. Nadhani mawazo yao yote leo wanawaza tarehe 29.Wanapigwa mda si mrefuu..labda mbeleko itumike
Leo Mwewe linampata. aki vile. Hahahaaaaa.Dua la kuku hilo ujue
Woyoooooooo.Ahsante watoto wa nyumbani lipuli
woyooooooo!
Kombe lao si kuwafunga yangaHahahaaa. Nadhani mawazo yao yote leo wanawaza tarehe 29.
Hivyo wacha Lipuli wajipigie.
Kabisa na ajue wanaume tulivyo chukua mfululizo tulifanya kazi ya ziadaApigwe tu kwa kweli.
Ili ajue Ubingwa haupatikanagi kirahisi.
Tusiandikie mate na wino upo, mwisho wa mechi najua tutakimbiana humu jukwaaniLeo Mwewe linampata. aki vile. Hahahaaaaa.
Mtakoma!!Huyu kocha wa Simba,kavuruga formation sahiv hata Simba haichezi mpra wa kuvutia.Viungo wengi kama Ndemla, Mzamiru hat Niyonzima wanakosa namba
Lipuli wakiendelea hivi wata deserve kushnda..
Hata hiyo siku wanaweza wakakalia dole gumba piaHahahaaa. Nadhani mawazo yao yote leo wanawaza tarehe 29.
Hivyo wacha Lipuli wajipigie.
Yanga kumbe ndio kato zao hizo eeh? Simba soka uwanjani mkuu, hapewi mtu hata mia na Lipuli kufungwa anafungwaM-PESA isipotumika halftime Simba hatoki
HahaaaaaKombe lao si kuwafunga yanga
Hahahaaaaa. Na ndio dalili hizo Mkuu.Hata hiyo siku wanaweza wakakalia dole gumba pia
Uzuri wenu nyie "imethibitishwa" mnaitumia ipasavyo....so sitashangaa halftime hii mkafanya mamboTusiandikie mate na wino upo, mwisho wa mechi najua tutakimbiana humu jukwaani
Mama ndio kila kituMimi Simba lakini Lipuli ni chama langu pia.Wacha leo simba tutoke droo inatosha.
Simba baba,Lipuli ni mama nimchague nani sasa?
Wala Yanga hatuna pesa ya mshahara hatufanyi mchezo huoYanga kumbe ndio kato zao hizo eeh? Simba soka uwanjani mkuu, hapewi mtu hata mia na Lipuli kufungwa anafungwa