Vodacom Premier League Lipuli FC 1-1 Simba SC, Uwanja wa Samora Mkoani Iringa

Vodacom Premier League Lipuli FC 1-1 Simba SC, Uwanja wa Samora Mkoani Iringa

44' Kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza. Ambapo Simba wako nyuma ya goli moja dhidi ya Lipuli
 
Huyu kocha wa Simba,kavuruga formation sahiv hata Simba haichezi mpra wa kuvutia.Viungo wengi kama Ndemla, Mzamiru hat Niyonzima wanakosa namba
Lipuli wakiendelea hivi wata deserve kushnda..
Mtakoma!!
 
Mimi Simba lakini Lipuli ni chama langu pia.Wacha leo simba tutoke droo inatosha.
Simba baba,Lipuli ni mama nimchague nani sasa?
 
Back
Top Bottom