Vodacom Premier League VPL | Ruvu Shooting Vs Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba

Sasa wanamtoaje Mugalu nao hawa? Mzamiru atafanya nini?
Ruvu walikuwa wanakuja kwa nguvu sana so pale katikati Lwanga alikuwa na kazi nzito peke yake sababu Bwalya sio mkabaji mzuri.
Hapo kaingia Muzamiru yeye atacheza 8 mbele ya Lwanga kisha Bwalya anaenda kushoto Kama winga 11 Luis anapanda namba 10 Kama second straiker na Morrison anacheza winga wa kulia 7 na Bocco 9

Sasa Bwalya ametoka kaingia Ndemla ambaye anapanda kucheza 10 nyuma ya Booco kisha Morrison anarudi kwake kushoto na Luis anarudi kwake kulia kule
 
82' Ametoka Bwalya na ameingia Ndemla upande wa Simba SC huku Morrison akionyeshwa Kadi Njano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…