Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kazi Ipo Uwanja wa Taifa

Duuh!!

Mie nakusabahi tu Mtani.
 
Duuh!!

Mie nakusabahi tu Mtani.
Niko poa mtani, ulianza kidogo jana, ukaahidi kuja asubuhi na kweli umekuja, hongera kwa kuja hapa ubaoni tuna IST yako njoo Msimbazi uchukue..![emoji23]

Jana tumemaliza alama 44 tunasubiri game nyingine, malalamiko hayawezi kuisha ndo burudani mtani..NguvuMoja
 
Niko poa mtani, ulianza kidogo jana, ukaahidi kuja asubuhi na kweli umekuja, hongera kwa kuja hapa ubaoni
Nafurahi kuyasikia hayo Mtani. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
tuna IST yako njoo Msimbazi uchukue..![emoji23]
Hahahahaaaa. LOL.
Jana tumemaliza alama 44 tunasubiri game nyingine, malalamiko hayawezi kuisha ndo burudani mtani..NguvuMoja
Wacha Wee. Haya Mtani wacha tuendelee kuburudika mana hatuna jinsi.
 
EPL kuna VAR lakini watu bado huwa wanabishana sana hasa kwenye offside
 
Kila mechi huyu mama anawabeba mgongoni Frolentina Zabron bila aibu kabisa,vibendera wanaonyesha offside za uongo uongo ila offside za mikia ni sawa tu magoli.......mnatia aibu
Linesman ndiyo anaweza kuona vizuri offside kuliko refa wa kati
 
Malalamiko yenu yatafanyiwa kazi baada ya Ligi kumalizika kwa sababu Simba SC ni Next Level sawa mkuu?

Ndo maana hata CAF wanatambua hilo, Ahly, JS Soura, Vita Club, Nkana FC walileta malalamiko yao ambayo mwisho waliangukia pua..[emoji23]NguvuMoja
Labda Cuf ya Lipumba ila siyo Caf ya mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…