Vodacom, tiGO wapandisha tena bei za vifurushi vya Internet. Nape unafanya kazi gani?

JPM alikataa wahuni na Wezi. Mama yeye ana warudisha kwa ajili tu ya mikakati yake.

1000 GB1. siku hizi 2000 GB 1. Tena mitandao ya simu ime chakachua jinsi ya kutafuna bando. Dk 30, ume tumia 75% ya bando lako la wiki.
Nape na Makamba Waji uzuru tu. Pamoja na huyo maneno Mengi Juma Aweso-wa Maji.
 
Akija front utackia anasema "WENZETU MAREKANI NA ULAYA UKO WANALIPA DATA BEI KUBWA ZAIDI UKILINGANISHA NA SISI, NI VILE TU SEREKALI YETU INA HURUMA NA WANANCHI WAKE"
Sipendagi hii tabia ya viongozi ku compare hali ya nchi yetu na nchi nyingine ......bas tu

Hii inakuwa dalili ya kushindwa kuongoza
Kama nchi nyingine wanaumia, ndio iwe sababu ya sisi kuumia pia??
 
Vifurushi vya Data kila siku vinaongezwa gharama na hawa Providers kama wapendavyo na Nape na wizara yake pamoja na TCRA wako kimya.

Leo asubuhi TIGO wamekuja na menu mpya. Nape atupishe maana hata Rais hamuondoi kama vile anafanya kazi katika kampuni binafsi ya Rais.

View attachment 2400109
MBona tulishangilia wizara imepata mwenyewe, acheni wivu sukuma gang nyie
 
Vifurushi vya Data kila siku vinaongezwa gharama na hawa Providers kama wapendavyo na Nape na wizara yake pamoja na TCRA wako kimya.

Leo asubuhi TIGO wamekuja na menu mpya. Nape atupishe maana hata Rais hamuondoi kama vile anafanya kazi katika kampuni binafsi ya Rais.

View attachment 2400109
Hii nchi wanapandisha bei ya vitu wanavyotaka na hamna kiongozi wa kututetea
 
Vifurushi vya Data kila siku vinaongezwa gharama na hawa Providers kama wapendavyo na Nape na wizara yake pamoja na TCRA wako kimya.

Leo asubuhi TIGO wamekuja na menu mpya. Nape atupishe maana hata Rais hamuondoi kama vile anafanya kazi katika kampuni binafsi ya Rais.

View attachment 2400109
unaijua elimu ya nape lakini, hamna kitu mle ni jemba imeunga unga tu hiyo empty box kabisa
 
Vifurushi vya Data kila siku vinaongezwa gharama na hawa Providers kama wapendavyo na Nape na wizara yake pamoja na TCRA wako kimya.

Leo asubuhi TIGO wamekuja na menu mpya. Nape atupishe maana hata Rais hamuondoi kama vile anafanya kazi katika kampuni binafsi ya Rais.

View attachment 2400109
Kwani mkuu bei elekezi kwa kila MB 1 ni tshs?
 
Back
Top Bottom