whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Mkuu hivi ttcl fiber gharama ya chini shngapi?Fungeni Fiber au Copper ni gharama nafuu mno.
#RudiNyumbaniKumenoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hivi ttcl fiber gharama ya chini shngapi?Fungeni Fiber au Copper ni gharama nafuu mno.
#RudiNyumbaniKumenoga
Ongesa na huyoJenista yuko namba ngapi?
2/3 ni mizigo mkuu hakuna loloteTaratibu mkuu hapa si si kusema robo ya Serikali hakuna kitu na hapo hujapandisha kwa ma boss zao kazi ipo
Loliondo au Msomela, Tanga?Wengine tupo maporini mkuu
Tsh 3 hadi 9Kwani mkuu bei elekezi kwa kila MB 1 ni tshs?
Kifurushi cha chini kabisa ni Tsh 55,000 tu kwa mwezi kikiwa na spidi ya 10/20 Mbps.Mkuu hivi ttcl fiber gharama ya chini shngapi?
Muondoe Mh Bashe hapo...Mawaziri mzigo ni 1. Makamba 2. Aweso 3. Mbarawa 4. Bashe. 5. Jafo 6. Mwigulu 7. Nape 8. Gwajima 9. Kairuki 10 Gwajima
Yule ana mental illness mkuu... Tena dingi awe macho asije akamharakisha ili awahi kumfurahisha mama yakeHaya ya kusema eti achia ngazi ni kelele tu
Sio kwa Africa baba
Mwingine jirani anautaka Urais kwa nguvu na amesema ni zawadi kwa mama yake [emoji1]
Mimi huwa nina siku 2 nzima ambapo siingii kabisa mitandaoni, nabaki na kitochi tuu. Hizi simu ni so addictive aiseeNadhani kwenye kila wiki tuwe na siku ya kutokutumia Data!
Hivi itachukua miaka mingapi kuacha kumzungumzia mwendazake? Jamani he is no more and will never come back to help you. Can't you think alternative way out without him?JPM alikataa wahuni na Wezi. Mama yeye ana warudisha kwa ajili tu ya mikakati yake.
1000 GB1. siku hizi 2000 GB 1. Tena mitandao ya simu ime chakachua jinsi ya kutafuna bando. Dk 30, ume tumia 75% ya bando lako la wiki.
Nape na Makamba Waji uzuru tu. Pamoja na huyo maneno Mengi Juma Aweso-wa Maji.
Halafu huwa wanachagua ya ku compare, yale mengine wasiyoyapenda utawasikia hao ni wakoloni na mabeberu wana mambo yao na sisi tuna ya kwetu...Sipendagi hii tabia ya viongozi ku compare hali ya nchi yetu na nchi nyingine ......bas tu
Hii inakuwa dalili ya kushindwa kuongoza
Kama nchi nyingine wanaumia, ndio iwe sababu ya sisi kuumia pia??
Huna nasikia wakisema ni rahisi sana kuwatawala wabongo [emoji23] [emoji23]nchi ina viongozi hii kwani au tunajiongoza wenyewe, Ingetokea nafasi ya kuhama hii nchi ningehama... sijivunii walah
Punguza kauli za kipimbi jombaa..Acha kulialia tafuta hela ya bando
HUkuwa umezaliwa kipindi anateuliwa wizara hiyo? Pimbi jrPunguza kauli za kipimbi jombaa..
Serikali hadi leo imeshindwa kumsahau Nyerere wa 1961. Itakuwa ww maskini usahau JPM. Miaka 5 tu JPM; Inter change bridges Dar nzima, Meli, Mwanza-Busisi Brigde, Wami Bridge, Roads, SGR, Nyerere HEP, Stendi zote Tz, Umeme bila mgao, Ufisadi 0.05%, Vyeti feki 17,000, Uwajibikaji 80%, nk.Hivi itachukua miaka mingapi kuacha kumzungumzia mwendazake? Jamani he is no more and will never come back to help you. Can't you think alternative way out without him?
Wote waliofukuzwa na Magufuli kwa sababu yoyote ile, kuanzia vyeti feki na hao Mawaziri mizigo, hawakustahili hata kidogo kurejeshwa kwenye nyadhifa hizo tena wakati damu changa zikiendelea kuzaliwa kila uchao.Vifurushi vya Data kila siku vinaongezwa gharama na hawa Providers kama wapendavyo na Nape na wizara yake pamoja na TCRA wako kimya.
Leo asubuhi TIGO wamekuja na menu mpya. Nape atupishe maana hata Rais hamuondoi kama vile anafanya kazi katika kampuni binafsi ya Rais.
View attachment 2400109