Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Hicho ndio kipimo cha mtu mtakatifu?

Upumbavu mtupu
 
Nyie endeleeni kuugulia maumivu manyumbu nyie
 
Wewe ndio mpumbavu sasa!

Wewe lizinzi na lilevi jizi una tofauti gani na mwizi?
 
Wewe takatak tu utaenda mbinguni kufanyaje sasa
 

Unahisi alikua na personal motive gani kuwabomoleeni nyumba wewe na familia yako?
 
Watakatifu ni watu waliofanikiwa kuwa wema mpaka wakati wa vifo vyao na wanaishi na Mungu Mbinguni. Kuwa mtakatifu haimaanishi haukuwahi kutenda dhambi. Hauufahamu hata msemo maarufu wa every saint has a past and every sinner has a future!!?
bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.


kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo.

Biblia inatoa picha kamili ya utakatifu. Wengi wanakuja na tafsiri zao ambazo zinapingana na tafsiri ya neno. JPM alikuwa mtakatifu, na amepumzika mahala pa watakatifu. Hili halazimishwi mtu kukubalia Wala kukataa kama wengine wanavyosema yupo wanapo amino wao yupo. Na sie tunao amino yupo peponi na ni mtakatifu watuheshimu kuamini kwetu.
 
uko sahihi
 
Kusemwa kwa wema au kwa ubaya kote Ni sahihi Kuna watu waliumizwa acha watoe nyongo Kuna watu walifaidi acha nao wasifu na kuabudu.
 
Utakatifu kaupata wapi? Covid19 ilimkata kauli mpaka akwekwa kwenye induced comatose ili aweze pumulia ventilator. Hiyo nafasi ya kufanya sala ya toba aliipataje?

Pia hakua mkristo wa kweli ndiyo maana alizikwa kichawi huku akiwa amesimamishwa wima ,maziko yake hayakuonyeshwa live kama Nyerere ,Mkapa.

Mwamba aliumiza wengi sana, Kuna Ustaadh mmoja jamaa yetu alikua mnunuzi mkubwa sana wa mchele . Bahati mbaya alikua hajui kusoma au kuandika,alifikia level ya kununua Michele wa zaidi ya B1 kwa msimu wa mavuno. Kuanzia bonde la morogoro mpaka kanda ya ziwa kila msimu.

Mwaka 2020 kaenda bank kutoa pesa ili aendelee na mishe zake kakuta account imepigwa pin. Akaambiwa aende makao makuu dar,kufika kule baada ya mahojiano na kikosi kazi akaambiwa anaiibia Serikali. Wakapiga panga hela wakamuachia m600, karudi mkoani anakuta wamekomba hela zote.

Ustaadh alikufa amekaa saa saba mchana kwa kupata sudden seizure kama kapigwa shoti ya umeme. He was a victim of unyang'anyi wa utawala wa magufuli.

Wanyang'anyi hawatoiona pepo Magufuli akiwemo maana alikua muuwaji pia.
 
Halafu nyie mnaoletaleta habari zake ndiyo mnakaribisha watu wamropokee,kama yuko mbinguni au peponi atajua yeye na nafsi yake.
 
"Kwa bandiko hili, sasa ningewaomba watu humu, kutoendelea kumsakama, kumshutumu, kumsimanga na kuendelea kumsema vibaya, na badala yake tumwache apumzike kwa amani."
Kwa hiyo Pascal Mayalla , tusipoacha kumsema hatapumzika salama!!???
 
Your browser is not able to display this video.

Ongezea hio,watu wamuache mzee Magufuli,kafanya makubwa nchi hii,wasijifanye wana uchungu saaana,kucomment comment ujinga jf
 

Unatafutia watu ban kwa nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…