Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Ebu pita hivi
 
Huo mkutano ulibeba ujumbe gani mkuu?
 
Nilitoa maoni yangu humu humu kuwa huyu Mama Samia asigombee tena ile miaka 4.5 ilitosha kabisa kumpa maisha ya amani , furaha ,heshima na mwisho mwema wa kukumbukwa ....... lakini akusikia alidhani maisha ya amani atayapata kwakuwa anapesa na anauongozi , ona sasa Mama wa watu amepoteza furaha , amani , na zaidi atakumbukwa kama kiongozi aliyeondoka na damu ,vilio ,vilema na zaidi sifa mbaya kimataifa na kwa kila sifa mbaya ............kila alipo shauriwa hakusikia , kila walipopaza sauti yeye akusikia ,zaidi alipenda kuwasikiliza machawa na wale wanyonyaji wa taifa ( Jk ,Rostam nk ) bali wale wazalendo kama Warioba , Kitima ,Gwajima ,Tibaijuka ,nk aliwapuuza na zaidi alikuwa akiwajibu kwa dharau na vijembe vya taarabu ..........ona sasa hana furaha kabisa , hana nuru , hajiamini , kapoteza matumaini kwa wananchi wake .....kila siku ni maumivu tu wale machawa waliokuwa wanamsifia wote wamemkimbia kabakia Makonda tu
 
Hivi Watanganyika wengi wenu mna akili kweli?
Huyo Yezebeli wa kumwombea kweli?
Mtu asiye na huruma, utu wala upendo kwa walio wengi anaowaongoza.
Watanganyika msiwe majuha na Nyumbu ebu nendeni Zanzibar mkaone hela zenu zinavyoteketea huko.
1. Barabara zote za mjini na vijijini Zanzibar hadi zile za mitaa ya ndani ndani hadi kwenye viambo ni kiwango cha lami, je ninyi hali za barabara zenu zikoje hata zile za mitaa ya ndani ndani huko?
2. Kajenga hospitali za kisasa za kwenye Shehia (mtaa) wilaya, mkoa, wananchi wanatibiwa bure madawa tele, vifaa vya matibabu vya kisasa, madaktari wameajiriwa wa nje ya Zanzibar na hadi kampuni za wahindi zimepewa jukumu kusimamia hospitali, ninyi huku hali ya dawa na hospitali zenu za kijiji, mtaa, kata wilaya, mkoa na taifa ikoje, dawa je?
3. Bandari zinajengwa kama njugu, Maruhubi, Mangapwani, Fumba, Kizimkazi za kisasa hadhi ya kimataifa.
4. Unguja ambayo watu wake hawafiki milioni 2 ila kunajengwa viwanja vya mpira vya kisasa hadhi ya kimataifa zaidi ya vitatu, Fumba, Kizimkazi, Kile cha Amaan Complex chenyewe tayari, bado viwanja vidogo vidogo kwenye mitaa mingi vya kisasa balaa.
5. Bado maendeleo mengine na double standard za kimaendeleo zilijificha, wazanzibari wengi kupewa vyeo Tanganyika hata vile ambavyo si vya muungano.
6. Watu wao hadi mawaziri ukisikia wamekula vinono vya Watanganyika hadi wamekinai na wanatuona Babu jinga angalia kauli ya waziri wa afya Saada Mkuya na waziri wa kazi zimejaa ubaguzi mchana kweupe, halafu Samia na Mwinyi wala hawajasimama kukemea.
Miaka ya utawala wa Mh Rais Salmin wazanzibari walipolalamika kwamba hawaajiriwi kwenye hotel alitoka hadharani akawaambia ukweli wazanzibari nao wakanyamaza, Samia au Mwinyi wamewakemea wale mawaziri wao?
Hizi hela zoooote zinazomwangwa kwenye hii miradi makusanyo yao Zanzibar kwa mwaka ni kiasi gani?
Je mikopo ya kimataifa wazanzibari wanailipa?
Halafu unasema tumwombee huyu?
Pascal Mayalla TUJITEGEMEE britanicca yoga RESILIENT KATO
 
Anaumwa kimwili lakini kiroho ni marehemu wa mda mrefu sana
 
Usipofanya hivyo maombi yako hayawezi jibiwa popote hiyo inaitwa The law of give and get
Kwenye dunia ya leo uwajibikaji ndio jambo bora na la msingi
Mwambie awajibike wala hataweweseka kutaka aombewe

Anawambia watu wamuombee aliowaulia ndugu zao watoto wao wazazi wao ?

Swali kwako : hivi ukiwa chawa lazima ufikiri kama una mtindio wa ubongo?
Maana wengi wenu ni kama hamnazo
 
Acha akakutane na wale aliowaua ili akae madarakani kwa shuruti.
 
Ndiyo maana uharibifu unaendelea,wangechezea za kichwa sasa hivi pangekua shwari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…