Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
merci,petitRespect Papaa Mandalaa💪
Asali au aswali?Saa 9 hii , bila shaka unaota ndoto za majinamizi.
Amka usali kisha ulale tena , maana una wenge la usingizi.
Wascenge wascenge kama nyinyi mpo wengi, yaani wewe umpe maoni mtu(rais) asigombee na utake yafuatwe!?..acha umakuNilitoa maoni yangu humu humu kuwa huyu Mama Samia asigombee tena ile miaka 4.5 ilitosha kabisa kumpa maisha ya amani , furaha ,heshima na mwisho mwema wa kukumbukwa ....... lakini akusikia alidhani maisha ya amani atayapata kwakuwa anapesa na anauongozi , ona sasa Mama wa watu amepoteza furaha , amani , na zaidi atakumbukwa kama kiongozi aliyeondoka na damu ,vilio ,vilema na zaidi sifa mbaya kimataifa na kwa kila sifa mbaya ............kila alipo shauriwa hakusikia , kila walipopaza sauti yeye akusikia ,zaidi alipenda kuwasikiliza machawa na wale wanyonyaji wa taifa ( Jk ,Rostam nk ) bali wale wazalendo kama Warioba , Kitima ,Gwajima ,Tibaijuka ,nk aliwapuuza na zaidi alikuwa akiwajibu kwa dharau na vijembe vya taarabu ..........ona sasa hana furaha kabisa , hana nuru , hajiamini , kapoteza matumaini kwa wananchi wake .....kila siku ni maumivu tu wale machawa waliokuwa wanamsifia wote wamemkimbia kabakia Makonda tu
Palikua na amri ya kutotoka njeKila nikikumbuka wale vijana waliopigwa risasi Mwanza,waliokuwa wanaangalia mpira kwenye kibanda cha chips nasikitika sana 🤔
Mida hii wenzio tuko kwenye deep meditation, we uko na wanasiasa! Mida hii nakuwa macho ila ni maombi bila kushika simu.Wanabodi
Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu jf https://www.jamiiforums.com/threads...eli-ili-kumsaidia-aomba-rais-aombewe.2418533/
Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.
Sauti hiyo imeishia hapo!
Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.
Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!
Mzee Pasco.
Upo sahihi hata haijulikani alipo yupo kama digidigi, so sad for presidency. Enzi za kampeni aliweka chawa Kila mahali eti mama hadaiwi! Ona sasa wanajaribu kujisafisha kwa entertainment badala hata ya kutatua kero za wananchi wapo busy kutumia hela kuleta watu mashuhuri TZNilitoa maoni yangu humu humu kuwa huyu Mama Samia asigombee tena ile miaka 4.5 ilitosha kabisa kumpa maisha ya amani , furaha ,heshima na mwisho mwema wa kukumbukwa ....... lakini akusikia alidhani maisha ya amani atayapata kwakuwa anapesa na anauongozi , ona sasa Mama wa watu amepoteza furaha , amani , na zaidi atakumbukwa kama kiongozi aliyeondoka na damu ,vilio ,vilema na zaidi sifa mbaya kimataifa na kwa kila sifa mbaya ............kila alipo shauriwa hakusikia , kila walipopaza sauti yeye akusikia ,zaidi alipenda kuwasikiliza machawa na wale wanyonyaji wa taifa ( Jk ,Rostam nk ) bali wale wazalendo kama Warioba , Kitima ,Gwajima ,Tibaijuka ,nk aliwapuuza na zaidi alikuwa akiwajibu kwa dharau na vijembe vya taarabu ..........ona sasa hana furaha kabisa , hana nuru , hajiamini , kapoteza matumaini kwa wananchi wake .....kila siku ni maumivu tu wale machawa waliokuwa wanamsifia wote wamemkimbia kabakia Makonda tu
Nyie wazee millennia akili visodaPalikua na amri ya kutotoka nje
Si hizi hata vichaa mnapewa u platnumKama ilivyo kawaida ya siku zote.
Kichwa cha mada ni cha kipuuzipuuzi tu, ndicho hicho pekee kilichonileta hapa kuandika haya machache bila ya kusoma upuuzi mwingine unaofuata.
Nayasema haya bila ya chembe hata ndogo ya kuyajutia.
Wewe Bycola huwezi kula bila kujipendekeza? Nakuona sana kwenye mitandao unajifanya mjuaji sana, eti mzalendo huku unalamba viatu vya watawala! Mpuuzi wahedi.Wascenge wascenge kama nyinyi mpo wengi, yaani wewe umpe maoni mtu(rais) asigombee na utake yafuatwe!?..acha umaku
Gen z ndiyo kizazi pekee chenye uwezo mdogo wa kifikra kuliko kizazi kilichowatanguliaNyie wazee millennia akili visoda
Njoo nikuajiriWewe Bycola huwezi kula bila kujipendekeza? Nakuona sana kwenye mitandao unajifanya mjuaji sana, eti mzalendo huku unalamba viatu vya watawala! Mpuuzi wahedi.
Tupo smart kuliko unavyotudhania sema nyie wapinzani mpo kwenye mkwamo wa kifikra hamjataka kumove on bora sisi wajinga tukishaambiwa imekwisha ila kwa nyinyi wapumbavu hambadiliki. Now you know ujinga ni ignorance na upumbavu ni foolishnessKwenye dunia ya leo uwajibikaji ndio jambo bora na la msingi
Mwambie awajibike wala hataweweseka kutaka aombewe
Anawambia watu wamuombee aliowaulia ndugu zao watoto wao wazazi wao ?
Swali kwako : hivi ukiwa chawa lazima ufikiri kama una mtindio wa ubongo?
Maana wengi wenu ni kama hamnazo
Mmezoea maisha ya kutohoji?Gen z ndiyo kizazi pekee chenye uwezo mdogo wa kifikra kuliko kizazi kilichowatangulia
RAMURI CHONGANISHI TU HAKUNA ROROTEHii habari sio ndogo kuletwa na mdau wa jikoni kabisa bila shaka Hali ishakua mbaya huko