Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Nimsomeshe nilimzaa mimi!?
 
HUfai hata kujiita mzee, maana unatabia za kichokozi tu, yaani kuna mzalendo anaweza kumtakia samia afya njema kweli? Au unasemea uzalendo gani wewe?
 
Vumilia maoni ya watu au toka jukwaani
 
Mkuu mbona unatumia nguvu nyingi na akili kubwa kumjibu huyo msenge mmoja ambaye hana impact yoyote humu,kadri unavyojibu upuuzi wake ndio kichwa kinavimba na yeye kilaza ajisifu amejibiwa na mtu mwenye akili.Wamo wengi humu na dawa ni kutomjibu chochote
 
Umesema "vyombo vya dola ni vyombo dola huvitumia ku-assert mamlaka". Sawa, matumizi tumekubali. Lakini swali letu sio vinatumikaje, swali ni NI MALI YA NANI? Kutumia si kumiliki. Dereva anaitumia gari la kampuni, lakini gari sio mali yake.

Umesema "Vyombo vya Scott ni vya kupikia". Tofauti ni hii: Sufuria ya Scott umeinunua kwa pesa yako. Bunduki ya JWTZ na gari la Polisi vimenunuliwa kwa KODI YA WANANCHI. Mshahara wa askari analipwa na wananchi. Ndio maana Katiba Ibara ya 8 inasema mamlaka yote na rasilimali zote ni mali ya wananchi.

Umesema "Oktoba 29 vyombo viliilinda dola". Hapo umejifunga mwenyewe. Kikatiba Ibara 147, kazi ya vyombo ni KULINDA WANANCHI na mipaka ya nchi, sio kulinda dola dhidi ya wananchi. Kama Oktoba 29 vililinda dola dhidi ya wananchi, basi ndio tatizo lenyewe - vimetumika kinyume na Katiba. Vinatakiwa vilinde wananchi, sio vitawale wananchi.

uwezo mdogo wa kifikra wa Gen Z". Hiyo inaitwa Ad Hominem - ukishindwa kujibu hoja, unaanza kumshambulia mtu. Mjadala wetu sio wa Gen Z vs wazee, mjadala ni Katiba inasema nini? Na Katiba inasema ni mali ya wananchi, sio mali ya dola wala mali ya CCM.
 
Chawa bwana
 
Hapa hawezi kukujibu maana nimemuona unaemhangaikia kumjibu ni kilaza toleo la mwisho kabisa. Mkuu ni heri hizi hoja ukawapelekea machawa nguli waliono humu ila sio kwa huyu kilaza

Na hii elimu unayompa aiweke sana kichwani maana ni mara chache sana kwa kilaza kujibiwa kwa akili kubwa kama unavyomjibu wewe

cc gallow bird
 
Ameniambia mtu kwamba Samia ni mzima.
Kama hakwenda Rukwa ni kwa sababu mganga wake alimshauri asiende Sumbawanga..
Nikasema sawa, lakini watu wengi wanasema Samia anaumwa na majibu kama haya hayawezi kuwaridhisha.
Kasema atenda tena kuuliza .
 
Mkuu yale mapepo from within bado unayasikiliza?
Kumuombea heri ya afya mtu asiyetubu kwa mauaji, sina uhakika kama Mungu atasikia!!
 
Watabiri mpo kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…