Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Kuna yule jamaa alijitutumua mbele ya kadamnasi bila haya akasema vyombo hivyo ni mali ya CCM.

Bila woga bila aibu.
 
Me too ....FUK Samia
 
Mimi namuombea kifo, Samia kufa itakuwa ni nafuu Kwa watanganyika kuliko akiwa hai.

May God do the needful action.
 
Tangu tulipozuiwa kumuombea mhanga wa shambulio la risasi 30+, siko tayari.
 
Uliwezaje kuumia kwa aliyefariki ambaye hana maumivu lakini haukuumia kwa mwenye maumivu ya risasi 30!
 
We
Wewe unafikiri Pascal Mayalla Hana akili? Anajua kabisa keshatujulisha watanganyika Hali ya IAM kwamba anahitaji maombi Mungu awape faraja MO29.
Hana jingine pigeni maombi kwa Sana Hadi Jambo litokee.
Kwahiyo unadhani ni code?
Sometimes mbona hua anasifu na kuabudu au hua huoni?

Anyway muda ni mwalimu mzuri
 
Taja anashida gani ili tunapomuomba Mungu wa Abraham, Isaack na Jacob tumwambie kabisa kwa Ee Mungu umkumbuke Mtumishi wako Rais. Samia ana shida.......so and so....muokoe na kikombe hicho, na Mungu wetu atamuokoa.
Ila ukisema tumuombee tu bila kusema anashida gani itakuwa ngumu sana kwetu sisi watu wa maombi yaelekeayo juu kwa Adonai
 
Mh ni hiyo buku saba tuu...
 
""TULIWABANA SANA ACHA NAO WAPUMUE""
 
We sema umepenyezewa ni mgonjwa
Alikimbizwa zanzibar majuzi
 
i used to underestimate the power of novena prayer, but now i truly see its strength. wakatoliki sio watu wazuri. ogopa sana watu wanaamua kufunga kula kwa masiku kadhaa halafu kwa umoja wao, wanazama kwenye maombi ya kukushtakia kwa Mungu wao.
Nina maombi maalumu huwa ni ya siku saba husaliwa kwa kihebrania huweza kuvunja nguvu za novena hata iweje.
((. ))
Every night for 7 nights, after midnight, light a small white candle, hold this paper, and read it 7 times. On the 7th night, burn the paper in the candle and let the ashes fly in wind. The Novena is broken.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…