Volkswagen Polo Gti huyu mnyama acha kabisa!

Niliwahi kuwa naendesha mashine moja ya mjerumani, nipo speed 160-170 mph, kuna mzungu alikuwa na pikipiki Bmw alinipita kama nimesimama
 
BMW nayo ni German machine.
Niliwahi kuwa naendesha mashine moja ya mjerumani, nipo speed 160-170 mph, kuna mzungu alikuwa na pikipiki Bmw alinipita kama nimesimama
 
Nafaka wewe kiboko na hiyo gari yako Toyota Allion, ni gari nzuri na inakula mafuta kidogo, assume 1 litre 10km na kila litre 2000@ ukatumia laki 5 kasoro (1700 :- 10 x 2000/ = 340,000/) ikawa gharama kubwa lkn kwenda ukapitia Tabora
leo mbavu zangu Mkuu, nimecheka sana
siku ingine ukipita Dodoma pitia hapa Kizota Garage tucheck Oxygen Sensor na hiyo Google map tutarekebisha hiyo Toyota pole sana
 
Nshaliuza toka mwaka 2017 nina mnyama mwingine mkuu
 
Kwa maana hiyo Unataka kusema Mitsubishi Evo, Toyota Supra, Nissan GT-R na Kuna Subaru flani hivi nimesahau jina lake....hizi siyo gari za maana...?

Kwenye hayo magari hapo mpeni mjapani heshima yake...
Subaru WRX (STi) mnyama
 
Mkuu Porsche Cayman ni matoleo ya kisasa zaidi. Mimi nilimaanisha Porsche 911 yale matoleo ya nyuma ikiwa stock ukishindanisha na Supra yenye 1jz-Gte stock.
Watu wanashindwa kuelewa tu, unaanzaje ku compare gari ya 2014 na gari ya 1988?
 

Kuna chuma za Japani zipo vizuri sana....hapa ni Nissan skyline GTR hapo Kenya..Jamaa wa subaru kapata aibu mbele ya demu wake.
Huyo jamaa alikuwa mpuuzi, yani subaru kwa GT-R ni sawasawa umshindanishe mbio mlevi na hussain bolt.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
Yani hata subaru akitangulia kwa 200 metres atachapwa like a joke. GT-R is the best nissan ever produced!
 
Umenena mkuu na kwa sasa Supra anavalishwa 3uz ili wamtambue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…