korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
Mzee baba kuna Toyota zinatembea huyo Vw Golf mchumba tu, uje ujaribu mziki wa Toyota Celica yenye 3s-gte.
Au Toyota yeyote yenye 1Jz-Gte iwe ni Toyota Supra,Mark 2,Cresta au Tourer V. Achana na hizo 1jz-ge au 1jz-fse zilizo kwenye Brevis.

Kuna Crown majesta ina engine ya 1UR V8 ina Cc4600 Petrol. Gearbox yake ni Automatic ya gear 8.Au crown majesta ya 3uz petrol...
Ukiweka 1jz-gte kwenye Ipsum New Model, body ya gari ndio itakayochoka zaidi kwa kushindwa kuhimili mikiki mikiki.Mkuu niliona kuna toyota ipsum 2.4l imevikwa injini ya 1jz -gte huko ulaya sijui vipi kitaalamu hii imekaaje, je ufanisi utaongezeka na nguvu ya gari itaongezeka pia
Na injini nzuri ipi kwa mbio kidogo kuivika kwenye min van/ wagon yyte yenye kuanzia siti 7 na kuendele
Bila kuathiri ubora wake wa gari????????
Ukiweka 1jz-gte kwenye Ipsum New Model, body ya gari ndio itakayochoka zaidi kwa kushindwa kuhimili mikiki mikiki.
Gari itakuwa na nguvu na ufanisi utaongezeka maradufu.
Inafaa ila utumiaji wako ndio utaipa body ya gari lako maisha.So hii engine haifai kuiweka kwenye minvan yyte yenye kuanzia seat 7?? Vipi toyota voxy za 2013 ni nzuri upande wa performance na durability??
Asante, hatch back gani nzuri kwa kuivika hyo engineInafaa ila utumiaji wako ndio utaipa body ya gari lako maisha.
Hiyo 1jz-gte ni performance engine Kama itaitumia gari kawaida body haitochoka, ila ukiishurutisha Kama sport car hiyo body ya min van haiwezi kuhimili stress itakubidi utafute hatch back body.
Ivi hizi 3UZ si walisitisha uzalishaji wake, wakaja na UR Series ? Ambazo kuna 1UR, 2UR na kuna 3URUmenena mkuu na kwa sasa Supra anavalishwa 3uz ili wamtambue
Weka picha ya dash board tuone ubao unasoma ngapi....View attachment 1511460Wakuu habari za jioni,
Volkswagen Polo Gti
Niko safarini kwenda Tunduma, niko na jamaa yangu kaniomba kampani tuongozane kwenye msiba wa mkwewe.
Wazee nimebadili mawazo yangu na leo nakubaliana kabisa na wale wanaosema Toyota ni Usafiri sio Gari ,huyu mnyama ana pepea speed 240 hahaha lakini hatujafika huko mwamba mwisho 140 kwake lakini kinachofanya niandike sio hiyo speed maana ni kawaida, bali jinsi ilivyo na nguvu na nyepesi wakati wa kusepa Huyu mnyama njiani hana anayembakisha na jamaa yangu anataka saa 1 asubuhi itukute Tunduma na hapa ndo kwanza tumeiacha Chalinze doh mniombe.
Nikiokota hela nitanunua mnyama wowote wa German si kwa hii raha yaani chuma kimetulia barabarani hakuna hata kudundadunda.
Nimemaliza nitakieni safari njema.
Mrejesho
Hauifahamu hii gari vizuri. Ni gari ndogo ila inachapa mwendo. Na Specifications zake si za kawaida. Hebu jaribu kuijua japo kidogo. Hakuna Toyota inaigusa hii gari kwa nguvu na mbio!Mzee baba kuna Toyota zinatembea huyo Vw Golf mchumba tu, uje ujaribu mziki wa Toyota Celica yenye 3s-gte.
Au Toyota yeyote yenye 1Jz-Gte iwe ni Toyota Supra,Mark 2,Cresta au Tourer V. Achana na hizo 1jz-ge au 1jz-fse zilizo kwenye Brevis.
Hauifahamu hii gari vizuri. Ni gari ndogo ila inachapa mwendo. Na Specifications zake si za kawaida. Hebu jaribu kuijua japo kidogo. Hakuna Toyota inaigusa hii gari kwa nguvu na mbio!
Acha kuvuta bangi mkuu.
Kama VW ni GTI hasa Golf nakaa pembeni kuangalia huo mpambano....
Nikiikumbuka ile video ya BMW yuko 240Km/h halafu jamaa mwenye VW golf GTI anampita kama amesimama, niliona nimechoka.
Picha linaanza golf GTI kisahani kina 320 na chache zina 280 halafu DSG gear 8.
Hakuna GTI stock inayoweza kufika 320km/h maisha yaani haipo na haitakuwepo.Golf R yenyewe haifiki hio top speed.Tukisema tunings hapo lugha inaweza ikabadilika.
Na Mimi nakwambia hakuna golf gti stock ya kufika hio 320.Kama una ushahidi wowote ule uweke hapa boss.Mimi sizungumzii tuning... Ndo nmezitaja kabisa Golf gti aina zote mbili.... Zipo za 280 na zipo za 320
Na Mimi nakwambia hakuna golf gti stock ya kufika hio 320.Kama una ushahidi wowote ule uweke hapa boss.
PichaView attachment 1511460Wakuu habari za jioni,
Volkswagen Polo Gti
Niko safarini kwenda Tunduma, niko na jamaa yangu kaniomba kampani tuongozane kwenye msiba wa mkwewe.
Wazee nimebadili mawazo yangu na leo nakubaliana kabisa na wale wanaosema Toyota ni Usafiri sio Gari ,huyu mnyama ana pepea speed 240 hahaha lakini hatujafika huko mwamba mwisho 140 kwake lakini kinachofanya niandike sio hiyo speed maana ni kawaida, bali jinsi ilivyo na nguvu na nyepesi wakati wa kusepa Huyu mnyama njiani hana anayembakisha na jamaa yangu anataka saa 1 asubuhi itukute Tunduma na hapa ndo kwanza tumeiacha Chalinze doh mniombe.
Nikiokota hela nitanunua mnyama wowote wa German si kwa hii raha yaani chuma kimetulia barabarani hakuna hata kudundadunda.
Nimemaliza nitakieni safari njema.
Mrejesho
Saw a sawaView attachment 1511460Wakuu habari za jioni,

Mkuu habari ya Toyota Supra hata iwe toleo la nyuma hao wakina Golf,BMW au Benz hawafati.
Hiyo Supra wazungu wenyewe wamenyoosha mikono.Bado habari za jini mkata kamba Nissan Skyline Gt-r.
Nimemiliki MK6 GTI top speed ilikua 255km/h.Wewe top speed ya VW golf GTI unayoifahamu ni ngapi?