Ila kweli mkuu,watu huwa tunaponda toyota kumbe kuna matoleo ambayo ni hatar ila cc hatuyataki kwa kushindwa kuyamudu. Ivi ni kweli golf inaweza kuchnganya haraka kuliko mark x au crown?
W ushaambiwa kuna gari za toyota huyo golf n mchumba tu ww unabisha, acha kukariri broo, pia usijifanye kama vile unajua sana magari yote ya toyota.Hizo 4GR kawatishie wenye premio labda, ila kwa golf ni utopolo tu. Ile clip crown iliachwa na golf ikiwa speed 180 uliiona?
W ushaambiwa kuna gari za toyota huyo golf n mchumba tu ww unabisha, acha kukariri broo, pia usijifanye kama vile unajua sana magari yote ya toyota. Inamaana hujaelewa kilichofanya cron kupitwa na golf au, crown speedlimit inaishia 180 na golf ina zaidi ya 200 ww ulitegemea nn hapo wakitembea umbali mrefuuuu....japo najua wakitoka kwa pamoja golf ataachwa vizur tu mpaka crown atakapo maliza 180
Hela ya Kiwi ni Muhimu.Endeleeni kukimbiakimbia hovyo barabarani, mkifanya mchezo mtakua wageni wa Yesu jioni hii. Maafande tunasema mwendokasi unaua.
PS: mkipigwa tochi tukiwaambia leta leseni sio unatoa tu lileseni lako, weka 10k kwa chini ebo!
Yaani unawaza magari mazito hivo na huna hata toyota vitz.Niliwahi toka Dar hadi Makambako na Mercedes Benz . Ilikua ni burudani barabarani.
Mbezi nilitoka saa 1 hivi jioni, saa 11 niko makambako. Na tulilala njiani kama masaa mawili kasoro...
Kila kitu kinaanzia kwenye fikra kwanza[emoji2]Yaani unawaza magari mazito hivo na huna hata toyota vitz.
Sent from my SM-A5100 using JamiiForums mobile app
Hujaachana sana na sisi tunaowaza kununua sport rims wakati hata licence hatuna wala hatujui tutakulaje..[emoji4][emoji4][emoji4]Niliwahi toka Dar hadi Makambako na Mercedes Benz . Ilikua ni burudani barabarani.
Mbezi nilitoka saa 1 hivi jioni, saa 11 niko makambako. Na tulilala njiani kama masaa mawili kasoro.
Gari nitazomiliki panapo Majaliwa
1. Mercedes Benz (zile za chini)....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu hyo gari ikiwa kwenye mwendo hata mlio unabadilika......Achana na mjerumani kabisa, hawa jamaa magari yao ni next level. Sintosahau siku tuko safarini na Harrier matako ya nyani tuko spid mbaya mara naangalia kwenye kioo kuna MB G Class moja inaomba kupita nikambania.
Tumeenda nae ivo ivo anaibia apite mi namtishia bodi anatulia, tumefika sehem barabara ina vipara nikajichanganya nipunguze kulipisha lile shimo, mwamba kanipita vuup. Aisee yule jamaa sikuwahi kumuona tena njiani utasema alifika sehem akapaa
Gari za Ujerumani acha kabisa,sitaisahau siku tuko kwenye V8 inatembea 160 mpaka 170,tumeenda tukasikia honi kuangalia nyuma yetu ni Mini Cooper, dereva wangu hakuipa nafasi, kumbe jamaa alikuwa anatafuta mahali paliponyooka, alikuja kutupita kama mshale,sikujua alitupita na speed gani lakini nguvu iliotumika kutuovertake ilikuwa ni kama tumesimama....Achana na mjerumani kabisa, hawa jamaa magari yao ni next level. Sintosahau siku tuko safarini na Harrier matako ya nyani tuko spid mbaya mara naangalia kwenye kioo kuna MB G Class moja inaomba kupita nikambania.
Tumeenda nae ivo ivo anaibia apite mi namtishia bodi anatulia, tumefika sehem barabara ina vipara nikajichanganya nipunguze kulipisha lile shimo, mwamba kanipita vuup. Aisee yule jamaa sikuwahi kumuona tena njiani utasema alifika sehem akapaa
Uzuri wa Benzi ni stability barabarani.Achana na mjerumani kabisa, hawa jamaa magari yao ni next level. Sintosahau siku tuko safarini na Harrier matako ya nyani tuko spid mbaya mara naangalia kwenye kioo kuna MB G Class moja inaomba kupita nikambania.
Tumeenda nae ivo ivo anaibia apite mi namtishia bodi anatulia, tumefika sehem barabara ina vipara nikajichanganya nipunguze kulipisha lile shimo, mwamba kanipita vuup. Aisee yule jamaa sikuwahi kumuona tena njiani utasema alifika sehem akapaa
Hakuna gari yeyote kutoka Asia ya kuizidi gari ya ulaya kwa kigeo chochote kileKuna Toyota zina balaa huyo Golf atamzidi kwa luxury Toyota. Jaribu kufatilia moto Toyota Runx Rsi Trd au Toyota Yaris Trd hizi zote ni sport car. Wa South wamekubali mziki wake ukimuweka na Golf lazima akae.
Toyota Supra,Soarer,Celica kwa Nissan kuna Nissan Skyline Gt-r kwa mbio gari za ulaya hazitii mguu.Hakuna gari yeyote kutoka Asia ya kuizidi gari ya ulaya kwa kigeo chochote kile
Hakuna gari yeyote kutoka Asia ya kuizidi gari ya ulaya kwa kigeo chochote kile