Volkswagen Polo Gti huyu mnyama acha kabisa!

Vuuuup
 
Safari njema mkuu, muwe makini mlima Mbalizi leo umefanya yake kama kawaida yake.
 
[emoji16][emoji16]Pole mkuu halafu hatukubeba yeyote maana mwamba alisema ukibeba mtu ataanza masharti mara ooh spidi mara oh taratibu dereva lakini kama ningeona comment yako basi tusingekuacha mkuu.
Aise mkuu nimechelewa kuuona huu uzi siku unasafiri nilisubiri sanaaa IT sheli ya PUMA pale Msamvu ningechangia hata mafuta[emoji16] na mshageuka mkuu?
 
Amin mkuu ,,,ni kweli nimesikia hiyo ajali ila nadhani kurudi hatutakimbia maana tulichokiwahi tushatekeleza..na ukizingati tupo wanne sasa.
Safari njema mkuu, muwe makini mlima Mbalizi leo umefanya yake kama kawaida yake.
 
Kweli mkuu hata jamaa angu hii gari haitumii sana mara chache mno...na tangu ainunue ina miezi 5
Gari za Europe nyingi ni nzuri,ussue ni bei,na kingine unapopata hitilafu upatikanaji wa spea sio rafiki sana kama gari za Japan...
 
Hiyo chuma iliyowapita itakuwa ni Mazda Rx 7 au Rx 8. Wazambia na wazimbabwe siku hizi wanaziagiza sana. Zimbabwe wao hawaogopi Mazda kule zipo nyingi na Mazda walikuwa wana Assembly gari zao miaka ya nyuma.
 
[emoji16][emoji16]Pole mkuu halafu hatukubeba yeyote maana mwamba alisema ukibeba mtu ataanza masharti mara ooh spidi mara oh taratibu dereva lakini kama ningeona comment yako basi tusingekuacha mkuu.
Hakuna shida mkuu nilipata usafiri, mpaka IwambiπŸ‘
 
Asee huu ni noma
 
Mzee baba kuna Toyota zinatembea huyo Vw Golf mchumba tu, uje ujaribu mziki wa Toyota Celica yenye 3s-gte.

Au Toyota yeyote yenye 1Jz-Gte iwe ni Toyota Supra,Mark 2,Cresta au Tourer V. Achana na hizo 1jz-ge au 1jz-fse zilizo kwenye Brevis.
Shida analinganisha na Spacio πŸ™‚πŸ™‚
 
Shida analinganisha na Spacio πŸ™‚πŸ™‚
Hapo ndipo wanapokosea Vw Polo zipo zenye V6 engine na nyingine zinaenda mpaka 2800 cc, sasa ukimlinganisha na wakina Ist,Spacio,Carina hutendi haki.

Huyu Vw Polo ukimpa Mazda Rx ina 1300cc,Nissan Skyline Gt-r injini RB26DETT 2600cc inline 4 au Toyota Supra/Soarer/Celica Gt 1jz-gte inline 6 yenye 2490cc hiyo Vw Golf haiwezi kusumbua.
 
Yes. Huwezi linganisha Hot Hatch na gari za kizembe. Lazima utafute mshindani wake wanaoendana.

Toyota wametengeneza hot hatch mpya GR Yaris ya kupambana na kina VW.

Check video hapo chini. Huyo Polo hatii mguu. Kumbuka Yaris ni kama Vitz tu. Japo GR ni supercharged.
 
Wazee mwendo mchubuyu kama juzi tu...now tushavuka Doma

Ila kuna sehemu karibu na mikumi kwenye ule mlima wa mwisho unateremsha mikumi,tumemuona dada mazingira hatujayaelewa maana hakuna nyumba wala kitu chochote ila kasimama pembeni ya barabara ana kibegi anasimamisha gari mmh hatujasimama...mtu amtagi Mshana jr aje atuelezee ana hisi nini nahisi yule ni kigagula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…