Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Okay ila iyo Tourage ni ya mwaka gani mzee baba ili nijue najichanga vipi mpaka kibubu kijae [emoji3][emoji3][emoji3]. Maana kila kukicha vyuma vipya vinaingia road .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio hapo baba ni design ya 2018 to present kibubu inatakiwa iwe inameza hela ndefu kwa siku!
 
Ndivyo jinsi mambo yalivyo.. hahahaha!!
 
In short kama unatenga $20,000 unaendesha European car nzuri na latest sana. Tunakomaa na magari ya zamani bure tu. Ukijipangia malengo yako hushindwi
Vile spare parts zilivyoshiba bei na zilivyo serious kupatikana!πŸ‘‡
 
Gari hili ni zuri kama ulivyo sema but bei yake sio mkasi kiviile ukilinganisha na gari la size hiyo hiyo from Japan, size ya engine ya Touareg ni kama Prado kwa maana Toyota so nakutia moyo mkuu, you can make it bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…