Mkuu kwa china siyo mishahara midogo tena....ni supply chain and automation ya viwandani ndiyo inafanya bei iwe imekufaEU na US wakiamua kumpa nafasi ya China apewe Mexico mtashangaa wote hapa jinsi China itanyooka.
Mexico wapo vizuri pia tena sana halafu mshahara wao kwa wastani ni mdogo mara 3 ya China.
Mexico, India na Vietnam zinaweza chukua nafasi ya China kama EU na Marekani wataamua. Kwa kiasi fulani itapunguza wao kuitegemea sana ChinaEU na US wakiamua kumpa nafasi ya China apewe Mexico mtashangaa wote hapa jinsi China itanyooka.
Mexico wapo vizuri pia tena sana halafu mshahara wao kwa wastani ni mdogo mara 3 ya China.
Mkuu kwa china siyo mishahara midogo tena....ni supply chain and automation ya viwandani ndiyo inafanya bei iwe imekufa
Mexico, India na Vietnam zinaweza chukua nafasi ya China kama EU na Marekani wataamua. Kwa kiasi fulani itapunguza wao kuitegemea sana China
Advantages gani zinazo muweka China above them ?Mexico, India na Vietnam zinaweza chukua nafasi ya China kama EU na Marekani wataamua. Kwa kiasi fulani itapunguza wao kuitegemea sana China
Kwamba nchi zinapewa tu viwanda ?EU na US wakiamua kumpa nafasi ya China apewe Mexico mtashangaa wote hapa jinsi China itanyooka.
Mexico wapo vizuri pia tena sana halafu mshahara wao kwa wastani ni mdogo mara 3 ya China.
Advantages gani zinazo muweka China above them ?
Kwamba nchi zinapewa tu viwanda ?
Basi waje watupe na sisi viwanda maana kuna mpaka watu wanalipwa 3000 kwa siku viwandani
Watu wanajiandikia tu bila kutafakari kwa kina.Kuna sababu zinawavutia kwenda kuwekeza China
Advantages hutengenezwa. Kwani hiyo China miaka ya 1970s wazungu walikuwa wanazalishia uko na kufanya investments?Advantages gani zinazo muweka China above them ?
Kwa nini hawaamishi pamoja ya kutofautiana na China katika masuala kadhaa na pia kumnufaisha China na uchumi wake kuwa tishio kwao ?Advantages hutengenezwa. Kwani hiyo China miaka ya 1970s wazungu walikuwa wanazalishia uko na kufanya investments?
Ni advantage gani ya China ambayo haiwezi kuwa reciplocated kwingine?
Kwani unawapangia mwelekeo wao wa kiuchumi? Wewe ulitaka wahamishe lini kwa deadline yako.Kwa nini hawaamishi pamoja ya kutofautiana na China katika masuala kadhaa na pia kumnufaisha China na uchumi wake kuwa tishio kwao ?
Pia pamoja na kampeni zisizo isha za decoupling lakini bado wana ng'ang'ana Beijing ?
Tuanze na hii WeforumKwani unawapangia mwelekeo wao wa kiuchumi? Wewe ulitaka wahamishe lini kwa deadline yako.
China kunufaika ni matokeo ya jitihada zake na wawekezaji. Unadhani wazungu wana roho nyeusi ya wivu kwamba kwa kuwa tumemsaidia akifanikiwa basi tuache kufanya naye kazi. Ni sababu tu ya sera za uchumi, sio mambo personal.
Kama wangekuwa hivyo Marekani isingetoa lend lease kwa USSR, wala isingezijenga Japan, South Korea na kuikopesha Ujerumani kurudi juu kiuchumi baada ya WW2. Na zote hizo nchi 3 hazikosi miongoni mwa nchi kubwa 10 kiuchumi duniani.
Wanabaki Beijing sababu ni mabepari, capitalists siku zote wanatazama faida. Kama China faida ipo watabaki lakini kwa kuwa mazingira ya China kuwa na faida sio exceptional kwa China peke yake bali yalitengenezwa basi yanaweza tengenezwa kwingine.
Unless utueleze ni advantage gani ipo China na haiwezi kuwepo India, Vietnam na Mexico nilizotaja.
We na hio Mexico yako..2023 Mexico imeongoza duniani kama topr trade partner wa US ku import in US.
US amepandisha tariffs kwa bidhaa zinazotoka China.
Hivi sasa imefikia hatua baadhi ya kampuni za Chinese wanaitumia Mexico kama route kupeleka vitu US li kukwepa tariffs.
Mambo bado ya moto.
Mexico usiwachukulie poa mzee.We na hio Mexico yako..
Ushaambiwa sababu kuu ni idadi ya watu China .labda ungesema India ningekuelewa ila kwa uchumi wa dunia Mexico mtoee kabisaa
Unless utueleze ni advantage gani ipo China na haiwezi kuwepo India, Vietnam na Mexico nilizotaja.
Mexico usiwachukulie poa mzee.
Walitengeneza drone ambayo ilizidi drone ya Israel walipofanya test.
Walikataa kuziuza kwa kuogopa kuingia kwenye mitafaruku.
Lakini kwenye tech sio wa kuwabeza plus wapo cheap kuliko China, nakubali wanachozidiwa ni population.
US plan yake ndio hiyo kufanya kazi na Mexico na kumuacha China, ni suala la muda.
Ndio wanaongoza kwenye tech latin America yote.
Yeah!...tena wanaweza kufanya hayo Ili kuionya China juu ya Taiwan au juu ya kujaribu kuisaidia Urusi.Mexico, India na Vietnam zinaweza chukua nafasi ya China kama EU na Marekani wataamua. Kwa kiasi fulani itapunguza wao kuitegemea sana China
Yeah!...tena wanaweza kufanya hayo Ili kuionya China juu ya Taiwan au juu ya kujaribu kuisaidia Urusi.