Volkswagen yafikiria kufunga viwanda vyake nchini Ujerumani, moja ya sababu ni ushindani kutoka China

U.s.a sio tena nchi ya juwekeza tena .amna tsjiri atakayewekeza marekani akaweza kutengeneza faida ya maana .labda apate ruzuku ya 200ml usd kila mwaka
 
Point haikuwa kulenga viwanda vya magari tu bali uchumi kwa ujumla. Ilitakiwa kwa sasa tuone -ve impacts za vikwazo ilivyowekewa Russia

Ila cha kushangaza licha ya vikwazo ni kwamba uchumi wa Russia unakua kuliko mataifa yote ya Ulaya
Kama uchumi wa Russian unakua kwa kipindi hiki, basi dhana nzima ya Uchumi haiwezi tena kueleweka kwa hali ya kawaida
 
Issue ni kua Mexico haina impact kubwa kwa dunia ..ila China yuko world wide
Hata hpa bongo kuna kitu gani made in Mexico? Au mradi gani mkubwa kafanya hpa ?
Xo yy hana msaada na cc heri kubaki na mchina wetu na heri awe na uchumi kumpita us maana yeye sera zake ni nzuri kwa Africa tofauti na marekani
 
Kwahiyo unahisi mimi kilaza sijui hayo matumizi mengine ya drones?
Mbona unakomaa na vitu vyepesi sasa
 
Dah ila we jamaa ina maana hata ulicho kijibu mwenyewe hujui ulijibu nini!!!
Kwahiyo najadili na vilaza humu kwamba nilazima nifafanue kila kitu ndio waelewe?
Yani nikizungumzia maji, basi niseme yanatumika kunywa, kutawaza, kuosha vyombo, kumwagilia, kuoga, viwandani, sasa mpaka namaliza si nakesha. Nikisema yanatumika kwa matumizi ya nyumbani, utakuja kunikosoa kulist matumizi mengine kwani nani hajui hilo.

Yeye mwenyewe matumizi ya drones hajayamaliza. So niende kwenye ligi nianze kumfundisha kama tuko shule? Tuanze kufafanua UAV, UCAV, MALE, HALE, strike, UUV, ROV kwani tunaandika PhD
 

Mimi sijakwambia uniandikie insha mkuu ila ulicho jibu mwenyewe ulikielewa kama unajua kua drone zina kazi nyingi sawa ila ulicho jibu umekielewa?
 
Si ndio ulichokusema na kukifahamu au?
Hakuona mwishoni niliandika n.k?
Mimi sijakwambia uniandikie insha mkuu ila ulicho jibu mwenyewe ulikielewa kama unajua kua drone zina kazi nyingi sawa ila ulicho jibu umekielewa?
Sasa msiwe kama wajinga. Siongei na vilaza humu kwamba ni lazima nifafanue kila kitu. Wenye akili wanachukua concepts tu Pale iliposema DJI, ambao hawatoi military drones nikasema hiyo segment ya civilian drones Marekani hajaikazania ila tukienda kwenye military drones ndio ana msisitizo. Sasa mimi kutoa mfano wa DJI Mavic series tiyari mnataka kuwa wakufunzi wa drones. Logic hamjui, ligi tu mnataka
 
Kwa nini useme za video shoot huoni asiyejua kuhusu matumizi ya drones unampotosha?
 
Kwa nini useme za video shoot huoni asiyejua kuhusu matumizi ya drones unampotosha?
Sipo kwa ajili ya kufundisha kwanza mada sio ya drones hii. Ambaye hajui aulize, kwanza niliku-quote wewe sasa sijui ndio hujui matumizi ya drones
 
Unamaanisha Trump huyuhuyu anayeionea wivu Mexico kwa sababu ya jinsi China imewekeza sana hapo Mexico?
Umesoma mstari ulio-quote? Ni huu hapa
Tena Trump akiwa Rais ndio kabisa yule bwana anapenda vya Marekani.
Sasa swali lako sijajua ulimaanisha nini.
Kama Trump anaona wivu kwa China kuwekeza Mexico, mbona serikali yake iliwekeza Mexico?

Bidhaa nyingi za China zinaingia Marekani kupitia Mexico ikiwa kama third party.
China ina FDI kwa Mexico, kampuni za China zinaweka uwekezaji Mexico na kuzalisha bidhaa za Meixo. Kampuni ya India ikifungua plant Tanzania kuzalisha vipuri, ikaajiri Watanzania bado utasema zile ni bidhaa za India? Sasa unamaanisha China inafanya magendo kupitia Mexico na Marekani haijui.

Sasa kama ni hivyo mbona China ungesema ina bidhaa nyingi za Marekani wakati zinazalishw palepale China. Na kwa mantiki ya Trump na ya kiuchumi, bidhaa za investors wa Marekani zinazozalishiwa China anaziita bidhaa za China. Wewe kwanini unataka tuziite za Marekani.

BYD kampuni ya China ya kutengeneza EVs ina mpango wa kufungua kiwanda Mexico, Trump kwenye kampeni zake anasema hayo magari ikiwa yataingia Marekani kutoka Mexico atayawekea tariffs kubwa
Same applies na gari za Ulaya. Kwahiyo usiishie kuiona dunia ni China tu
La sivyo hizo kampuni za Kichina zikafungue factories Marekani ili zisikumbane na hilo rungu la tariffs atakapokuwa raisi
China hana FDI kubwa Marekani, lengo la Trump ni Marekani iwe na FDI kubwa hasa payback kwa ambao pia Marekani imewekeza. Japan unawaona, South Korea unawaona, Canada, UK, Taiwan wote hao wana FDI nzuri Marekani.

China imewekeza $28 billion pekee kwa miaka 20, Marekani imewekeza $127 billion kwa China muda huohuo.
Wakati FDI yote kwa pamoja ndani ya Marekani ni $5.9 trillion. FDI ya Marekani kwenda nchi nyingine ni $6.68 trillion.

Marekani imewekeza duniani kuliko dunia ilivyowekeza Marekani. Kwanini Marekani isibadiri sera zake kwa manufaa yake?
 
Usijifariji, ndio kwanza COMAC ina ndege moja kwenye soko la China na wala bado haijawa certified duniani. Boeing ina certified products nyingi kwenye line hivyo chances za kuwa na makosa ni kubwa.

Airbus ni consortium ya Ulaya, kuna Ujerumani hapo, Ufaransa na Spain, na kwa mbali UK waliingiza BAE Systems. Hivyo kampuni ya Marekani inachuana na kampuni ya nchi tatu na zaidi. Kwenye market share bado tunaona Marekani ina 40% duniani. Urusi ndio alipotea kabisa wakati Sukhoi Superjet 100 ilikuwa certified kwake ila duniani ikarudishwa kwa manufacturer.

Anza kushangilia COMAC wakiuza nje na wakiwa certified duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…