Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

Kijana wa umbwe aliyeuliwa alikua anaitwa Ayubu
Hadi Leo Kuna kitanda chake kikiwa kimetandikwa vizuri na vitu vyake baadhi vilevile, Kama sehem ya historia ya kumuenzi
Duuuh ni huzuni kwa kweli.
 
Kuumizana tu matumbo lol, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado wanaweka had sasa, shule za jinsia 1,
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Umesahau Box 2 na kigonsera (Kaigo boys), [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila zamani ilikua ni unyama unyama.
 
Enzi hizo wandiba anakuja nilikua form 2 akawaanatupa tips za kufaulu pepa.
Yule mzee alikua anasema baadhi ya masomo ukipata zero sawa tu ila wekeza nguvu zako upige above 30.

2008 tupo F3 wakatutimua and funny enough nikachaguliwa advance pale.
 
UMBWE

-UNIVERSITY OF MOSHI BUT-NOT WELL ESTABLISHED

-MTI SAFI

Moja ya kiburudisho changu ni pale vijana wapya wanapoandamana kwa kukenua na kufurahia kuangalia mlima kilimanjaro unapotokezea nyakati za joto hahah

Pale Vijana wanapowaza mara mbili mbili kuoga maji ya baridi na akioga anataka kila mtu ajue bwenini

Vijana wanapotengeneza butter ya pala chichi kuitumia kama blue band kwenye mikate.

Nakumbuka nilipokuwa mgeni kuna njemba moja kubwa iliongea dorm kwetu muda wa msosi, na akafunga mlango na akamwambia kila mtu atoe shiling hamsini, hamsini ndio utoke nje

Jumamosi watu wanaandamana kwenda kombo kukutana pisi za kichaga

Wakati wa vumbi miguu ilikuwa inajaa vunza kila kona.

Vijana walikuwa hadi wanatembea na wa mama wanaouza chakula... na mara ya mwisho nilisikia vijana walitembea na mke wa olomi mwenye kibanda.. pale nje hahah

A level na O level wanazinguana kuhusiana na TV hadi zinachapwa..

Etc..

Life was crazy maan..
 
Hatari sana daaaah.
 
Kubwa tambaza na azania, baba angu mzazi alipelekwa minaki, daaaah.
 
Ndiyo maana mimi sikutaka kwenda uboyizini. Shule zote nilisoma mchanganyiko. Kesi kubwa zilikuwa ni kulana kimasihara kwenye vichochoro vya madarasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee khaaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…