cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kisa warsaw, [emoji23][emoji23][emoji23] hadi kumwagiwa mwagiwa mji machafu, khaaaahWapi Tabora boys na Mirambo sitasahau hii najua schoolmate mpo wengi humu mnaweza kutukumbusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa warsaw, [emoji23][emoji23][emoji23] hadi kumwagiwa mwagiwa mji machafu, khaaaahWapi Tabora boys na Mirambo sitasahau hii najua schoolmate mpo wengi humu mnaweza kutukumbusha
Duuuh ni huzuni kwa kweli.Kijana wa umbwe aliyeuliwa alikua anaitwa Ayubu
Hadi Leo Kuna kitanda chake kikiwa kimetandikwa vizuri na vitu vyake baadhi vilevile, Kama sehem ya historia ya kumuenzi
Kuumizana tu matumbo lol, [emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo maana siku hizi watoto wa boarding wanawekewa mafuta ya taa kwenye chakula kwa makusudi kwa sababu inaaminika yana control hormones hizo za testosterone na adrenaline n.k kupunguza munkari.
Everyday is Saturday............................... 😎
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Way back wakati Niko uboyizini pale mbeya mjini.
Katika mashindano ya umiseta ulizuka mzozo Kati ya camp letu na watoto wa meta .
Kuna mwamba mmoja alikuwa anajiona gangwe kwakuwa ana mbavu Nene Sasa ana akawa anajipitisha mbele ya wanaume huku kapigilia pafyuma kavaa kitozi nyangema huku analeta Maneno mbofu mbofu.
Wana walimvumilia Ila wakasanda akatoa Jamaa mmoja nae mbavu Nene Lina makonfidensi Kama yote si unajua wanyakyusa wa tukuyu .
Akamtandika na mnyororo kichwani Jamaa damu hizi
Halafu msela akawa kajificha hamjui Nani kamchabanga na mnyororo kichwani .
Akaanza panic pale anataka kupigana na asie mjua
Walimu wake wakamtuliza Ila wapi eti akataka kuwachenjia walimu [emoji1787].
Like tukio na mengine nadhani yaliwapa warning watoto wa shule zingine pale mbeya kwamba "mkienda uboyizini kuweni wapole la sivyo mtapigwa"
AhahahaKisa warsaw, [emoji23][emoji23][emoji23] hadi kumwagiwa mwagiwa mji machafu, khaaaah
Bado wanaweka had sasa, shule za jinsia 1,Wakati tupo uboyzini kwenye school baraza,
Hoja ilitolewa na mwanafunzi,
Mwalimu wa biology atoke mbele aje athibitishe kitaam,
Kitu gani aambacho kipo kwenye mafuta ya taa Ni kwa namna gani kinaweza kucontrol hiyo mihemko
Ilishindikana,
Mwishowe uo utaratibu wa kuwekewa mafuta ya taa kwenye vyakula ukafutwa rasmi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mkuu ile shule ni zaidi ya jeshi mpaka namaliza form 2010 nilishukuru Mungu, ilibidi nikatoe shukrani kanisani kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Yap, alijikuta captain akaendelea kurusha mawe watu wakaanza kumkimbiza akafika uwanjani alipigwa mtama hapo ikawa kila aliyemkuta anapiga sio mwenye fyekeo, mwenye mpini, mwenye jiwe, wengine walimkanyaga dah so sad mpaka akakata kamba. Kuna mwenzake nae alikimbilia nyumbani kwa mpishi alichomolewa akaletwa pembeni ya mwenzake. Nae alikula kichapo ila wakamuonea huruma. Akapelekwa KCMC ila nadhani alipona. Na kama alipona nadhani alipata kilema cha maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanafunzi analazwa polisi analazwa.....
Kibiti boizi[emoji119][emoji119][emoji119]
Umesahau Box 2 na kigonsera (Kaigo boys), [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafikiri Songea boys ndo wamepigana Vita na wapinzani wengi zaidi.
Moja kulikua na Vita ya hatari Kati ya Songea boys na Chuo cha Ualimu Songea(Matogoro) kwenye historian Vita hii ilishawahi ua mtu, wanachuo walikua wanapigika vibaya Sana
Pili, kulikua na Vita Kati ya Songea boys na Shule ya sekondari(ya jeshi) Ruhuwiko: Vita hii ulikua inaanzia Uwanja wa Majimaji then inasambaa mtaani. Ruhuwiko walikua wanaumia Sana kwenye mapigano haya
Songea boys ulikua ni zaidi ya Jeshi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna maza mmoja muuza maandazi alikulaga pesa za wanafunzi waliokuwa wameweka bond..haha
Enzi hizo wandiba anakuja nilikua form 2 akawaanatupa tips za kufaulu pepa.Jamaa walimuulia uwanjani karibu na bweni ka mkapa,. Niliposoma uzi huu nimejikita ninawaza mengi ila mkuu washule wa lyamungo kipindi hicho wandiba alikua mtu wa kuchochea ghasia maana ninakumbuka tulienda pale form 5 tukakuta o,lever wanapiga fimbo usiku kama nn ila wandimba alikua akituelezea komaa nyie ni wakiume. Dah ninatamani tuwasiliane na ww mtoa uzi wenda tuna fahamiana.
Hatari sana daaaah.kulikuwa na hizi battle na ilikuwa ni balaa
1. Milambo Vs Tabora Boys
Milambo washatembeza sana kichapo kwa Tabora Boys mpaka Tabora Girls tena Tabora Girls walienda kumwaga hadi Divi.
2. Musoma Tech Vs Mara Sec
hii ilikuwa vita zaidi wa Wanchari na Wairege,wakikutana lazima kiumane
3. Tambaza Vs Azania
battle la watoto wa mjini hili
4. Musoma Day ( Morembe) Vs Songe
5. Zanaki Vs Jangwani
battle za kitaaluma
1. Mzumbe Vs KIBAHA vs Ilboru
Kubwa tambaza na azania, baba angu mzazi alipelekwa minaki, daaaah.Ila kwanini hizi shule za kilimanjaro miaka ya 80s-90s na early 2000s walikua wanapenda hivi fujo?
Yaan ukikaa hivi ni kili boys, mara sijui kibohehe, sijui nn mara umbwe, sijuu lyamungo etc.
Nina wajomba zangu kama 6 hv kwa memmories miaka ya 90s wakiwa hapo kilimanjaro boys yaan walikua ni matatizo. Wasiende kucheza match aisee na shule yoyote na hilo lilori lao.. ni chaos kila mahali. Wale wajomba nilikua nashangaa ni shule gani hizo uniform zao eti wameprint sura zao. Yaani wooteee... sijui na wao walikua genge la wahuni ama ni nn.
Walimuendesha kweli padre komu.. yaan walikuja iwezea ile.shule baada ya kuondoa boys tupu ikawa day tena mixture. Daily home wageni wa kili boys munawaona halaf later taarifa za uhalifu.
Ila umbwe na lyamungo[emoji119][emoji119] its very touching. Umenifanya nijisikie na mm niko haunted as if nilisoma kwa wanaume hapo aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo maana mimi sikutaka kwenda uboyizini. Shule zote nilisoma mchanganyiko. Kesi kubwa zilikuwa ni kulana kimasihara kwenye vichochoro vya madarasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee khaaaah.Toa ujinga hapa..sisi tugombee nyie Weruweru au Kibosho girls? Kwanza mlikua mnanuka Midomo na mauniform yenu! Kitu ilikua ni Machame girls..unajua kitu kinaitwa UMACHA? UMBWE MACHAME.
Mgogoro wa Umbwe na Lyamungo ni wa kurithi..na sio sababu ya wanawake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kipindi Cha makange umbwe ilifika hatua tukaiita college kulikua na ufree uliopitiliza, migomo isiyoisha, walikua kupigwa ilikua ni mwendo wa uharamia, watu mda wowote wanaenda kulewa mpaka wanazima wanaletwa shuleni hawajielewi
Lyimo nae shule ilikuja mshinda tatizo ni wapigaji wa hela, shule ikawa na matatizo mengi kwa migomo ikawa kila uchwao
Kipindi hicho form one mpaka six sare moja ya kaki ukija mgeni ukikaa vibaya unaingizwa mjini sababu huwezi tofautisha uyu ni form one au form four