PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tanganyika tunajiua wenyewe tusiwalaumu sana wazanzibar

wanaomshauri na kumuongoza samia karibia wote ni watanganyika Kwahiyo hata kuuliwa ndugu zao wameamua wao ukitaka kuona hilo ni jinsi wanavyotetea hilo suala na kuona ni sahihi kilichofanyika
Kina kabudi wapo kimya na wanapinga mauaji kutokea!! Mchawi wa Tanganyika ni sisi wenyewe watanganyika
 
Pole sana Mkuu. Nadhani nimeongea ukweli ambao hupendi kuusikia.
 
Ni 2001 si 2000,idadi waliyotoa CUF ni mara 20 ya hiyo
 
Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.

Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?

Nawaza sana.
View attachment 3547444
porojo na uzushi nonsense kuhusu oct.29.2025, navyo hua vinazikwa gentleman, au unatafuta tension na useless public sympathy tu?
 
Tanganyika tunajiua wenyewe tusiwalaumu sana wazanzibar

wanaomshauri na kumuongoza samia karibia wote ni watanganyika Kwahiyo hata kuuliwa ndugu zao wameamua wao ukitaka kuona hilo ni jinsi wanavyotetea hilo suala na kuona ni sahihi kilichofanyika
Nyoosha maneno sema mshauri mkuu wa Samia ni Kikwete na ndiye beneficiary namba moja kwa upande wa Tanganyika wa awamu hii iliyomwaga damu nyingi za Watanganyika ambavyo haijawahi kutokea tangu taifa la Tanganyika liundwe kwenye mkutano wa Berlin wa Europeans kuigawana Africa.
 
Naunga mkono hoja mkuu
 
Wale jamaa waliovalia fulana na jeans za kubana walitoka ngerengere Morogoro na wengine ni kikosi maalum cha Polisi.

Hapakuwa na sababu ya kukodi polisi kutoka nchi jirani, hizo zilikuwa kauli za kutaka kuipaka matope serikali.
 
Ni 2001 si 2000,idadi waliyotoa CUF ni mara 20 ya hiyo
Mkapa unyama alioufanya haukubaliki na kama ambavyo unyama wa Samia usivyokubalika, hakuna justification katika mauaji ya raia.
Nimekuwa nikipiga story na jamaa zangu Wapemba na Mwajabu ni kwamba wanamlaumu Mkapa pamoja na Waunguja, wanadhani Waunguja ndiyo wanang'ang'ania muungano eti wanahisi muungano ukivunjika watatawaliwa na Wapemba. Wanadai hata Oman inapendelea damu za Kiarabu hivyo Waunguja(blacks) watakuwa watwana. Huu ni mtazamo wa Wapemba diaspora niliopiga nao story kuhusu muungano. Yaani hawa Wapemba hata mapinduzi hawayatambui wanadai Zenji ilipata uhuru way back kutoka kwa Muingereza. Confusing stories.
 
Kilichofanyika oktoba kwa wahuni ni sahihi,kinachotaka kufanyika kwa lissu baada ya kuongeza matukio ya oktoba kwenye kesi yake ni sahihi pia,na kukifuta hicho chama cha kihuni itakua sahihi pia
 
Kilichofanyika oktoba kwa wahuni ni sahihi,kinachotaka kufanyika kwa lissu baada ya kuongeza matukio ya oktoba kwenye kesi yake ni sahihi pia,na kukifuta hicho chama cha kihuni itakua sahihi pia
Kwa hiyo unamaanisha na Mkapa alikuwa sahihi vilevile kuwaua Wapemba(nao hapa tuwaite wahuni vilevile).
 
Wale jamaa waliovalia fulana na jeans za kubana walitoka ngerengere Morogoro na wengine ni kikosi maalum cha Polisi.

Hapakuwa na sababu ya kukodi polisi kutoka nchi jirani, hizo zilikuwa kauli za kutaka kuipaka matope serikali.
Acha uzwazwa, siri zilivuja na hakuna story uliyokuwa imetungwa. Unfortunately ziri zilivujishwa wakati mauaji yameshaanza na waliovujisha ni 'askari wema' baada ya kuona kukithiri kwa unyama dhidi ya raia.
 
Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.

Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?

Nawaza sana.
View attachment 3547444

Vilevile hakuna nyumba ya Mtanganyika ilipata msiba Januari 12 1964 pia januari 2001 na pia oktober 2020 huku Zanzibar
 
Acha uzwazwa, siri zilivuja na hakuna story uliyokuwa imetungwa. Unfortunately ziri zilivujishwa wakati mauaji yameshaanza na waliovujira ni 'askari wema' baada ya kuona kukithiri kwa unyama dhidi ya raia.
Narudia tena kukwambia, hakuna polisi yoyote aliyekodiwa kutoka nchi ya jirani. Msiwapake matope majirani kwa stori za vijiweni.

Huwa hamna aibu kutunga vitu vya uongo, mmetunga kuhusiana na Mafwele habari imekanushwa rasmi.
 
MLM Nyerere ndo mastermind wa muungano tulionao Leo. Sababu za yy kutuletea muungano alizieleza na akaeleweka vyema. Sasa mpuuzi mmoja amechoshwa na kwarezma anataka uvunjwe hatar sana aisee
 
Wazanzibari wanajua wakati wa uchaguzi ni wakati wa vurugu walijihami mapema kwa kukaaa majumbani
Wazanzibar hiyo level ya mihemko ya kisiasa wameshaipita, wako mbele sana hawazi kufanya mambo ya kijinga kama Yale maana wanajua serikali haichezewi sharubu.
 
MLM Nyerere ndo mastermind wa muungano tulionao Leo. Sababu za yy kutuletea muungano alizieleza na akaeleweka vyema. Sasa mpuuzi mmoja amechoshwa na kwarezma anataka uvunjwe hatar sana aisee
Muungano haujaleta heri yoyote zaidi ya maangamizi kwa Tanganyika na Zanzibar . Kila mabaya yamekithiri mote . Ni wakati wa Muungano kuvunjiliwa mbalini kila mtu akaanza upya kivyake ikabaki ujirani mwema kama zamani na sio huu unafiki na chuki kubwa zilizofichika zinazoanza kujitokeza leo pamoja na nchi kudidimia kwenye kila ubaya unaoujua wewe.
 
Wacha kujijaza ujinga wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…