M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
It takes two to tango, Wazenji wao ndiyo wanachukia 'machogo'(Watanganyika kule Zenji wanaitwa machogo) kuliko wanavyochukiwa wao in case you don't know. Kama umewahi kuishi visiwani huko hilo utakuwa unalifahamu fika.Kumbuka Tanzania haijaanza jana wala juzi kupigwa vita, nadhani unaikumbuka kesi ya 2015 baada ya uchaguzi wakati wale jamaa wa IT walipokamatwa wakitaka kuvuruga uchaguzi.
Mwaka jana wale wale waliodakwa walikuja kivingine, jukumu la kuilinda dola lazima lifanyike muda wowote ule.
Kusema Zanzibar hakufa mtu tarehe 29 October wakati wazenji wengi walirudi kwao kwa kukimbia na boti kuelekea tarehe 9 Desemba, inaonyesha chuki za baadhi yetu watu wa bara dhidi ya Wazenji.
Tukimaliza kuwachukia wazenji tutakwenda kuhamia kwa makabila mengine, ni rahisi sana kusambaza roho ya chuki lakini vigumu kurudia hali ya kawaida inayokuwepo kabla.
Iko wapi?Hata Kilimanjaro ni mlima lakini pia ni mkoa, Tanganyika ni ziwa na pia ni nchi iliyopata independence 9th-Dec-1961.
Iko Afrika ya Mashariki.Iko wapi?
Mtoa mada kwa fikra zake mauwaji hayajawahi kufanyika kwenye nchii hii,namkumbusha tu 1964 nyerere na akina okello waliivamia zanzibar na kufanya mauwaji ya kimbari,ukiachana na hilo mkapa pamoja na mahita waliivamia zanzibar na kufanya mauwaji ya kimbari,wote hao waliofanya mauwaji hayo hakuna walipo shitakiwa na hakuna mtanganyika alieinua mdomo wake na mungu alipomleta marehem maalim seif sharif hamad kuionesha dunia pamoja na watanganyika dhulma mnayoifanya kwa wazanzibar mkaishia kumkejel na kumuuona mbaguz, sasa nauliza why samia?Kumbuka Tanzania haijaanza jana wala juzi kupigwa vita, nadhani unaikumbuka kesi ya 2015 baada ya uchaguzi wakati wale jamaa wa IT walipokamatwa wakitaka kuvuruga uchaguzi.
Mwaka jana wale wale waliodakwa walikuja kivingine, jukumu la kuilinda dola lazima lifanyike muda wowote ule.
Kusema Zanzibar hakufa mtu tarehe 29 October wakati wazenji wengi walirudi kwao kwa kukimbia na boti kuelekea tarehe 9 Desemba, inaonyesha chuki za baadhi yetu watu wa bara dhidi ya Wazenji.
Tukimaliza kuwachukia wazenji tutakwenda kuhamia kwa makabila mengine, ni rahisi sana kusambaza roho ya chuki lakini vigumu kurudia hali ya kawaida inayokuwepo kabla.
Why not, two wrongs don't make it right.Mtoa mada kwa fikra zake mauwaji hayajawahi kufanyika kwenye nchii hii,namkumbusha tu 1964 nyerere na akina okello waliivamia zanzibar na kufanya mauwaji ya kimbari,ukiachana na hilo mkapa pamoja na mahita waliivamia zanzibar na kufanya mauwaji ya kimbari,wote hao waliofanya mauwaji hakuna walipo shitakiwa,sasa nauliza why samia?
Unaifahamu katiba?katiba aliyoitumia nyerere na mkapa kuuwa ndio katiba hiyo hiyo aluyotumia samia kuuwa,nauliza tena why samiaWhy not, two wrongs don't make it right.
Kama victims walifanya ujinga kutokuweka pressure ili culprits washitakiwe hii si sababu ya kuwazuia victims wa sasa kuweka pressure kwamba Samia na washirika wake washitakiwe.
Nami nimekujibu why not Samia? She has massacred civilians so she should face the consequences.Unaifahamu katiba?katiba aliyoitumia nyerere na mkapa kuuwa ndio katiba hiyo hiyo aluyotumia samia kuuwa,nauliza tena why samia
Kutuita machogo wameanza tangu miaka ya 60, hamuwezi kuishi ndugu msicharurane wala kugombana angalau siku moja. Wanaita machogo sisi tunawaita wala urojo na chapati.It takes two to tango, Wazenji wao ndiyo wanachukia 'machogo'(Watanganyika kule Zenji wanaitwa machogo) kuliko wanavyochukiwa wao in case you don't know. Kama umewahi kuishi visiwani huko hilo utakuwa unalifahamu fika.
Unapozungumzia IT craftsmen kwenye kugushi matokeo ya uchaguzi vinara ambao I can't see anyone matching them ni ile trio ya Abdurahman Kinana, January Makamba na Nape Nnawiye.
Chokochoko za kutaka kuuvunja muungano kwa uzanzibari wa Samia zinatoka huku bara.Mtoa mada kwa fikra zake mauwaji hayajawahi kufanyika kwenye nchii hii,namkumbusha tu 1964 nyerere na akina okello waliivamia zanzibar na kufanya mauwaji ya kimbari,ukiachana na hilo mkapa pamoja na mahita waliivamia zanzibar na kufanya mauwaji ya kimbari,wote hao waliofanya mauwaji hayo hakuna walipo shitakiwa na hakuna mtanganyika alieinua mdomo wake na mungu alipomleta marehem maalim seif sharif hamad kuionesha dunia pamoja na watanganyika dhulma mnayoifanya kwa wazanzibar mkaishia kumkejel na kumuuona mbaguz, sasa nauliza why samia?
Uliona Mzanzibar yeyote alifanya fujo?Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
View attachment 3547444
Mwalimu Nyerere alisema akiwa pale Kilimanjaro Hotel kwamba mwanasiasa aliyefilisika hukimbilia kwenye hoja zenye kuwatenga watu, atajitambulisha kwa utanganyika wake atajitambulisha kwa mkoa atajitambulisha kwa ukanda.Hawa watawala na wanasiasa wa CCM Zanzibar wanajua fika kuwa bila vyombo vya dola kufanya ukatili kule Zanzibar, hawawezi kuwa madarakani hata siku moja. Kuwepo kwao kunawezeshwa na vyombo vya dola tangu mapinduzi ya 1964. Wao ndio wanashirikiana na wenzao wa Tanganyika katika mipango yote ya mateso na mauaji ya wananchi.
Hii habari ya "Watanganyika kuwaua Wazanzibar 2001" ni wazo la kishetani linalotumika kuchezea akili na utu wa Watanzania wastaarabu. Ni ushetani huo huo unaotumika kudai kuwa 2025 ni "Wazanzibari" ndio walioua Watanganyika!!
Walioua na kundi lao la kimafia wanafahamika. Hili si suala la "kikabila".
Nashangaa hadi baadhi ya wanaharakati wanaingia katika mtego huo wa kulifanya suala la MO29 kuwa ni la "Tanganyika vs Zanzibar" badala ya kuliweka katika muktadha sahihi wa "CCM vs Everybody Else"Hawa watawala na wanasiasa wa CCM Zanzibar wanajua fika kuwa bila vyombo vya dola kufanya ukatili kule Zanzibar, hawawezi kuwa madarakani hata siku moja. Kuwepo kwao kunawezeshwa na vyombo vya dola tangu mapinduzi ya 1964. Wao ndio wanashirikiana na wenzao wa Tanganyika katika mipango yote ya mateso na mauaji ya wananchi.
Hii habari ya "Watanganyika kuwaua Wazanzibar 2001" ni wazo la kishetani linalotumika kuchezea akili na utu wa Watanzania wastaarabu. Ni ushetani huo huo unaotumika kudai kuwa 2025 ni "Wazanzibari" ndio walioua Watanganyika!!
Walioua na kundi lao la kimafia wanafahamika. Hili si suala la "kikabila".
Wakiambiwa ukweli kwamba wao ni wabaguzi wanabisha tena kwa kutumia lugha za matusi.Nashangaa hadi baadhi ya wanaharakati wanaingia katika mtego huo wa kulifanya suala la MO29 kuwa ni la "Tanganyika vs Zanzibar" badala ya kuliweka katika muktadha sahihi wa "CCM vs Everybody Else"
Sio kwa ubaya ila wenzetu upande wa pili heka heka hawaziwezi ndo maana huwa wanaishia Mikoa ya ukanda wa Pwani (Dar , Tanga na Pwani kidogo) 😂 ndo maana hakuna msiba ulioenda mambo ya nguvu sio vitu vyao.Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
View attachment 3547444
Kaenda Dubai kisha Ethiopia, akiwa na sifa ya Rais wa JMT.Hakuna cha dunia wala takataka gani, mimi ni muumini mzuri wa tit for tat, blow for blow au an eye for an eye hivyo ukisema waliouawa Oct,29th ilikuwa sahihi fine ila naongezea na wale mbweha wote waliouawa term ya Mkapa iwe kule Pemba au ya Mwembechai that was very much justifiable as well.
Tungoje fainali ya huyu Avijawa kikojozi wa Kizimkazi manake mpaka sasa anaishi kama panya and it's like yuko kwenye diet because mashavu yanazidi kusinyaa.
ICC unaiongelea wewe, I never mentioned it kwani vipi are scared of it? Hakuna mtu ukitoa sisi Watanganyika wenyewe mwenye shida ya kumkamata Samia kwani wangekuwa na shida naye wangemkwala hata akiwa ikulu iwe Dodoma, Magogoni au Kizimkazi ila the fact kwamba tokea 29th,Oct massacre hajafanya ziara ambazo previously ndiyo ilikuwa norm yake. Amebaki Dubai, Oman na nchi za Afrika.Kaenda Dubai kisha Ethiopia, akiwa na sifa ya Rais wa JMT.
Tatizo lenu mnapokaa na wanasheria uchwara mnadanganywa kwamba SSH anasubiri kukamatwa na ICC, hilo futeni vichwani mwenu. Waambie vijana mnaowatuma barabarani wataumizwa wakifanya hivyo.
Usitegemee Mama wa miaka 66 akawa na sura au mwonekano ule ule wa miaka 45.
Atakwenda popote kulingana na ratiba anayopangiwa. Hakuna wa kumzingua kwa namna yoyote ile.ICC unaiongelea wewe, I never mentioned it kwani vipi are scared of it? Hakuna mtu ukitoa sisi Watanganyika wenyewe mwenye shida ya kumkamata Samia kwani wangekuwa na shida naye wangemkwala hata akiwa ikulu iwe Dodoma, Magogoni au Kizimkazi ila the fact kwamba tokea 29th,Oct massacre hajafanya ziara ambazo previously ndiyo ilikuwa norm yake. Amebaki Dubai, Oman na nchi za Afrika.
Hata Ayatollah naye alizima machafuko kwa kuua mercilessly raia wake ila wanaume wamemuonyesha what it means to be a real deal kwa hiyo huo upuuzi wako don't hold water here.Atakwenda popote kulingana na ratiba anayopangiwa. Hakuna wa kumzingua kwa namna yoyote ile.
Alizima machafuko yenye nia ya kuipindua dola aliyoapa kuilinda, ukielewa maana ya hicho nilichoandika utaelewa kwamba hana ugumu wowote wa kwenda popote.
Ayatollah alikuwa rais wa Iran, Samia rais wa Tanzania vitu viwili tofauti kabisa.Hata Ayatollah naye alizima machafuko kwa kuua mercilessly raia wake ila wanaume wamemuonyesha what it means to be a real deal kwa hiyo huo upuuzi wako don't hold water here.
Point is ratiba zake zilivyokuwa inajulikana so nobody is blind, we know what really cooking. Levels zenu za ufafanuzi wa kichawa kuna watu mbumbumbu wenzenu ndiyo mnapaswa kuwa mnawasimulia.
Waasi wa msumbiji ni kweli, walifanya vurugu hadi kata ya Muhukuru, iliyo mpakani na Msumbiji.Sio kweli, kipindi mambo yametulia nadhani tarehe 3 hivi niliwakuta kwenye kituo cha polisi huku napoishi. Na walikua wanaongeleshwa kiingereza tu sasa kuna mtanzania gani hajui kiswahili mpaka asemeshwe kiingereza?
Kule songea pia kulikua na hayo malalamiko ya watu kukutana na hao waasi wa msumbiji kwenye mitaa ya bombambili huko!! Sasa zote hizo ni speculation tu?
Kuhusu wazanzibar hiyo lilikua documented na media credible kabisa the chanzo. Waliuwawa watu 8 huko Kinyerezi na walionusurika walidai kusikia lafudhi za zanzibar na waliwaambia kabisa wanawauwa sababu ni kisasi cha 2001!!
Sasa hauwezi puuzia malalamiko hayo kwamba nchi nzima wadanganye? Kwanini tume isichunguze hili?
NB: Usiseme matatizo ya zenji yalimalizwa na bara, yalimalizwa na CCM. Yaani CCM mtese watu zanzibar alafu mna justify kisasi kwa wabara as if wananchi ndio walitoa order wazenji wauwawe?
Embicile