Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hakuna aliye kamatwa kwa kuandandamana?
Polisi huwa wanawakamata cdm tu maana ndio wanavyoagizwa na watawala wa ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aliye kamatwa kwa kuandandamana?
Cdm haina haja na taka taka
18 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
WanaCCM waandamana kupinga maamuzi
Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza.
Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya madiwani waliogombea kupitia chama hicho ambapo kata 7 Kati ya 41 za jiji la Dodoma walioongoza walikatwa na kurudishwa wengine ndipo wakaandamana ofisi za wilaya.
Mmoja wa diwani aliyeshinda CCM lakini jina lake lililokatwa amewaomba wanaCCM wa kata ya Changombe kuwa watulivu wasifanye maandamano wasubiri maamuzi ya Halmshauri ya wilaya CCM watakapotafuta ufumbuzi wa sintofahamu hiyo ndani ya CCM .
Chanzo: Mwananchi digital
Hilo limedhibitishwa leo hapo dodomaPolisi huwa wanawakamata cdm tu maana ndio wanavyoagizwa na watawala wa ccm.
Kumbe sijasikia peke yangu.. eti mi sio mpinzaniDah..jamaa anasikika akisema ETI YEYE SIO MPINZANI hivyo polisi wasimnyanyase
Dah..jamaa anasikika akisema ETI YEYE SIO MPINZANI hivyo polisi wasimnyanyase
Wamelaaniwa haoKumbe sijasikia peke yangu.. eti mi sio mpinzani
Kwa kweliWamelaaniwa hao
Vumilieni kidogo maana October 2020 Lissu anakuwa rais na Salum Mwalimu anakuwa makamu wa rais wa JMT mnafanya mnavyotaka.Katika hali isiyo ya kawaida tofauti kabisa na wanavyofanyiwa wafuasi wa vyama vya upinzani polisi jijini Dodoma wamemkamata kistaarabu mno huku wakimbembeleza kwa maneno matamu mfuasi wa CCM aliyefanya vurugu na kuhatarisha amani ya nchi kwa kushiriki maandamano bila kibali na kuvamia ofisi za CCM wilaya ya Dodoma kupinga uteuzi wa mgombea udiwani.
Walisikika polisi wakimsihi na kumbembeleza kwa maneno matamu, "njoo bwana!" "Panda twende basi". Huku jamaa akikataa akisema " kwanini mtumie dola?" " kwani mimi ni mpinzani".
Huu ni upendeleo wa wazi wa jeshi la polisi nchini, ukilinganisha na tukio la karibuni mathalani jinsi alivyopigwa Tanganyika jeki Mheshimiwa Joseph Mbilinyi kule Mbeya kuna tofauti kubwa sana.
Tafashali mods huu uzi usiunganishwe na wowote tujadili upendeleo huu wa jeshi la polisi.View attachment 1541192
Wapo Kama [emoji23]
Aisee! Dogo anakaa hapo siku hizi?Mambo Ni Moto..alhamisi patanoga zaidi..View attachment 1541330
Kama Fisiemu..Wapo Kama [emoji23]View attachment 1541332
Aisee! Dogo anakaa hapo siku hizi?
Kabisa, it is order of the day yani.Halafu lilimtoka naturally
Kamati kuu waliwahi kuandamana na kuimba wanaimani na Lowasa lakini bado huyo Lowasa akakatwaa!
Lowasa akahamia upinzani wale waliondamana wakahama nae na kauli mbiu ya UlipoTupo nako akafeli
Msingi wa CCM uko imara sana bado, muda utatoa majibu
Kwani huko upinzani hakuna wagombea Hadi mlalamike kuwa waliokatwa CCM hawana muda wa kuja kwenu? Mpayukaji Hana watu wa kumfaa huko Hadi mmuletee waliokatwa CCM?UJANJA AMBAO CCM WAMEUFANYA MWAKA HUU, WANATAKA WATANGAZE MAJINA TAREHE ZA MWISHO WA KUCHUKUA FORM ILI UKIKATWA HATA UKIKIMBILIA UPINZANI UNAKUTA FORM HAZITOLEWI TENA SABABU MWISHO WA KUCHUKUA FORM NI TAREHE 25/08/2020.